Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,184
- 22,585
inaumiza sana..
Sio masikhara hata kidogo
inaumiza sana..
Huyu alifaa awe comedian tu abaki huko huku kwingine hafaiYaani huyu nadhan anakipaji cha kuchekesha zaidi ..nimecheka mno..dah
Unamsagia kunguniGabriel, amezoea kuchota fedha kwenye migodi mikubwa ya dhahabu. Mwanza atachota wapi mungu wangu?
Awahi na Mirembe.Bora kafanya fasta awahi bia huko
Lazima akabidhi fasta Rais anaenda Mwanza tarehe 13.Huu ndo uanaume, kilio cha samaki machozi yanaenda na maji! Mwanaume analia ndani nje smile! Hili la kukabidhi faster ni la mfano, baadhi ya wazee wetu na hata vijana wenzetu mnatuaibisha hua mnakua na longolongo mnapotakiwa kukabidhi! Safi
Wale wanajuana sana hapo wanatuliza kelele za watu watamtafutia tuHahahaaaa akazidi kuichafua
Anatakiwa kuwahi roli la mizigo yake Kahama ageuze nalo
Kwani ile Kazi yake ya Mwenyekiti ccm Mkoa alishika mwingine au?Kila la kheri Chalamila nje ya ukuu wa mkoa. Japo inauma kukaa ofisini kwa muda usiozidi wiki mbili halafu unatenguliwa.
Mkuu hilo sina majibu nalo labda tuwaulize watu wa Lumumba buku 7 watatusaidia. Ukirejea enzi za mwendazake alishasema kuwa hakuna kuvaa kofia mbili.Kwani ile Kazi yake ya Mwenyekiti ccm Mkoa alishika mwingine au?