Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

Gabriel, amezoea kuchota fedha kwenye migodi mikubwa ya dhahabu. Mwanza atachota wapi mungu wangu?
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa huo.

Kwa mujibu wa katibu mieka wa mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Matia Levi amesema makabidhiano baina ya wawili hao yanatarajiwa kufanyika wakati wowote leo.

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia leo, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ally Hapi amehamishiwa mkoani Mara kuchukua nafasi ya Gabriel huku aliyekuwa katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Batilda Buriani akiteuliwa kuchukua nafasi ya Hapi.

Hv ni kweli lile lory jamani hahahahaa watz hatuna kazi za kufanya jaman..tunafatilia petty issues balaaa🤣🤣
Sasa binadamu so tunaongea mambo ya binadamu lakini au unataka tuongee ishu za nyani 😃😃😃

BTW huyu mwehu alikuwa anataka umaarufu ndio maana watu walikuwa wanamfuatilia sana ameyataka mwenyewe mbona wengine hawafuatiliwi.

Akome
 
Chalamila anakwenda kuwa mlevi mbwa,ila afadhali yake yeye hakuwateka na kuwaibia wafanyabishara kama jambazi Sabaya
 
Huyu clown leo atalewa kinyama 😃 ogopa kitu inaitwa stress. Gari la mizigo yake lilikuwa Tabora kutoka Mbeya nadhani watageuza leo wairudishe mizigo yake iende kijijini kwao. Ajipange na ubunge kama atatoboa.
FB_IMG_16234174098152068.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa huo.

Kwa mujibu wa katibu mieka wa mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Matia Levi amesema makabidhiano baina ya wawili hao yanatarajiwa kufanyika wakati wowote leo.

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia leo, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ally Hapi amehamishiwa mkoani Mara kuchukua nafasi ya Gabriel huku aliyekuwa katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Batilda Buriani akiteuliwa kuchukua nafasi ya Hapi.

Too Fast .. Under 24 hours tangu kutenguliwa anatakiwa kukabidhi na aondoke haraka..
Picha zinaongea kwa sauti ya juu kuliko maneno
JamiiForums454382433.jpg
 
Mama anacheza makida.hatoboi 2025,wajumbe wanamchekiiii ,Kama vile hawaoni.anasumbuka bule kuhangaika na kupanga safu yake,haya mambo yalikuwa enzi zile,kwa ss wajumbe wamejanjaluka .bi mkubwa tulia,acha kuhangaika na mauteuzi,fanya kazi tizione.mpaka ss hakuna jipya kutoka kwake.
 
Mi kuna muda nawaza, labda alikua hataki hizo nafasi, hivyo akawa anajifanya chizi ili atolewe....
 
Back
Top Bottom