Get well soon Mwanyasi, tuko pamoja.
Dark City hiyo ajali ya pikipiki ilikuwa ni bodaboda?
Juzi nimempoteza mtu wa karibu hivi hivi kutokana na ajali ya boda boda.
Kweli kabisa ....
Ila nimejifunza kutochukulia kimzaha kitendo cha member kutoonekana JF kwa muda mrefu...
Imenisikitisha sana kwani pamoja na kuwa na namba zake za simu, tulishindwa kumpata...
Babu DC!!