Mwanyasi yuko salama baada ya kupata ajali mbaya.....

Unakumbuka jinsi simu zake zilivyopotea ghafla?

Tumwombee apone kabisa na kurudi uraiani...otherwise, it is shocking..!!

Babu DC!!

Nakumbuka hadi kuna siku tulikuwa tunachart na YNNAH tukawa tunaulizana bila majibu.....na siku ile tukaonga ukanambia simu za Mwanyasi hazipokelewi.....sijui kahama mji kimya kimya.

Basi tunamshukuru Mungu kwa miujiza yake. Mungu aendelee kumlinda na ampe maisha marefu
 
Last edited by a moderator:
This is shocking newz!

Kuna siku alinambia atahamia kijijini, mi nikadhani ametimiza azma yake kimyakimya, kumbe ndivyo sivyo.

Nianze kwa kutoa pole za kutoka ndani ya roho yangu kwa mpendwa wetu
Mwanyasi, kijana ambaye sisi wengine tunajuana naye kwa undani hadi kwa masuala ya kibinafsi. Pole sn mpendwa. Lakini naamini kuwa Mungu atawalaye ana mpango mwema sn na si wewe tu, bali hata sisi rafiki zako, maana amekuongezea wewe na sisi siku za kuwa pamoja, ishara kwamba kuna mambo kadha wa kadha ambayo tunapaswa kuendelea kuyajadili pamoja.

Pia nichukue nafasi hii adhimu kutuma salamu zangu za pole kwa memberz wote wa Tanga Wing kwa tukio hili baya na la kusikitisha. Bila shaka Mungu alimaanisha kitu kwa kulificha jambo hili machoni penu, huenda mngejua tungepata tatizo la ziada.
Poleni sana Dark City, KOKUTONA, YNNAH, Arabela na CHUAKACHARA. Mungu atawafariji nyote kwa jinsi yake.

Sisi Arusha Wing kama wazazi wenu tunawaahidi kuwa tuko pamoja nanyi, na dua zetu pokeeni,
Amina.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Manyansi.
Kumbe watu tukipotea huwa tunawapa tabu wengine tabu namna hii?? sikujua hili ila leo nimelitambua.

Mungu yu mwema sana na wema wake upo kwa Manyansi hata sasa. Haijalish kwamba Manyansi kapita mapto gani lakini bado wema wa Mungu upo katikati yake na bado anashughulika na maisha yake.Jina la MUngu wa Yakobo likuinue Manyansi na Mungu akutumie msaada toka patakatifu pake. Mungu azikumbuke sadaka zako na kuzitakabali dhabihu zako na siku ya leo zikutetee mbele za uso wa Mungu kwamba na wewe unahitaji uponyaji.

Daima kumbuka ALICHUBULIWA KWA MAKOSA YAKO, ALIJERUHIWA KWA MAOVU YAKO, ADHABU YA AMANI YAKO ILIKUWA JUU YAKE, NA KWA KUPIGWA KWAKE WEWE UMEPONA.

Ahsante sana teacher gfsonwin,

Hata mimi nimetambua kwamba kupotea kwa muda mrefu bila kutoa taarifa ni mateso kwa baadhi ya wadau...

Itapindi tujaribu kubadili approaches..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka hadi kuna siku tulikuwa tunachart na YNNAH tukawa tunaulizana bila majibu.....na siku ile tukaonga ukanambia simu za Mwanyasi hazipokelewi.....sijui kahama mji kimya kimya.

Basi tunamshukuru Mungu kwa miujiza yake. Mungu aendelee kumlinda na ampe maisha marefu

Ahsante sana KOKUTONA,

Hata mimi nimewaza mengi sana leo...

Tuendelee kumshukuru sana Mungu,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
This is shocking newz!

Kuna siku alinambia atahamia kijijini, mi nikadhani ametimiza azma yake kimyakimya, kumbe ndivyo sivyo.

Nianze kwa kutoa pole za kutoka ndani ya roho yangu kwa mpendwa wetu
Mwanyasi, kijana ambaye sisi wengine tunajuana naye kwa undani hadi kwa masuala ya kibinafsi. Pole sn mpendwa. Lakini naamini kuwa Mungu atawalaye ana mpango mwema sn na si wewe tu, bali hata sisi rafiki zako, maana amekuongezea wewe na sisi siku za kuwa pamoja, ishara kwamba kuna mambo kadha wa kadha ambayo tunapaswa kuendelea kuyajadili pamoja.

Pia nichukue nafasi hii adhimu kutuma salamu zangu za pole kwa memberz wote wa Tanga Wing kwa tukio hili baya na la kusikitisha. Bila shaka Mungu alimaanisha kitu kwa kulificha jambo hili machoni penu, huenda mngejua tungepata tatizo la ziada.
Poleni sana Dark City, KOKUTONA, YNNAH, Arabela na CHUAKACHARA. Mungu atawafariji nyote kwa jinsi yake.

Sisi Arusha Wing kama wazazi wenu tunawaahidi kuwa tuko pamoja nanyi, na dua zetu pokeeni,
Amina.

Ahsante PJ,

Nimewakumbuka sana na jinsi mlivyopata good time na Mwanyasi wakati wa ziara yenu ya Ta....

Tuzidi kumwombea ndugu yetu Mwanyasi,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Manyansi.
Kumbe watu tukipotea huwa tunawapa tabu wengine tabu namna hii?? sikujua hili ila leo nimelitambua.

Mungu yu mwema sana na wema wake upo kwa Manyansi hata sasa. Haijalish kwamba Manyansi kapita mapto gani lakini bado wema wa Mungu upo katikati yake na bado anashughulika na maisha yake.Jina la MUngu wa Yakobo likuinue Manyansi na Mungu akutumie msaada toka patakatifu pake. Mungu azikumbuke sadaka zako na kuzitakabali dhabihu zako na siku ya leo zikutetee mbele za uso wa Mungu kwamba na wewe unahitaji uponyaji.

Daima kumbuka ALICHUBULIWA KWA MAKOSA YAKO, ALIJERUHIWA KWA MAOVU YAKO, ADHABU YA AMANI YAKO ILIKUWA JUU YAKE, NA KWA KUPIGWA KWAKE WEWE UMEPONA.
.....daaah!! umeongea kila kitu nilichotaka kuongea mimi. Mungu ndo kila kitu naamini kwa maombi yetu atazidi kupata nafuu na atarejea katika majukumu yake ya kila siku.
 
This is shocking newz!

Kuna siku alinambia atahamia kijijini, mi nikadhani ametimiza azma yake kimyakimya, kumbe ndivyo sivyo.

Nianze kwa kutoa pole za kutoka ndani ya roho yangu kwa mpendwa wetu
Mwanyasi, kijana ambaye sisi wengine tunajuana naye kwa undani hadi kwa masuala ya kibinafsi. Pole sn mpendwa. Lakini naamini kuwa Mungu atawalaye ana mpango mwema sn na si wewe tu, bali hata sisi rafiki zako, maana amekuongezea wewe na sisi siku za kuwa pamoja, ishara kwamba kuna mambo kadha wa kadha ambayo tunapaswa kuendelea kuyajadili pamoja.

Pia nichukue nafasi hii adhimu kutuma salamu zangu za pole kwa memberz wote wa Tanga Wing kwa tukio hili baya na la kusikitisha. Bila shaka Mungu alimaanisha kitu kwa kulificha jambo hili machoni penu, huenda mngejua tungepata tatizo la ziada.
Poleni sana Dark City, KOKUTONA, YNNAH, Arabela na CHUAKACHARA. Mungu atawafariji nyote kwa jinsi yake.

Sisi Arusha Wing kama wazazi wenu tunawaahidi kuwa tuko pamoja nanyi, na dua zetu pokeeni,
Amina.

Oooh, ahsante PJ....bado tunamtafakari na kumshukuru Mungu kwa makuu haya.

Salaam kwa Arusha wing woote...tunawapenda km mnavyotupenda
 
hii habari mbona ngumu sana...........kweli jamaa alikuwa hapatikani nikajua mambo ya kazi tena,.....dah.....inashtua kweli.....lakini Mungu ana sababu na maisha yake ndio maana yupo hadi sasa.....pole sana Kamanda....... Mwanyasi.......
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana KOKUTONA,

Hata mimi nimewaza mengi sana leo...

Tuendelee kumshukuru sana Mungu,

Babu DC!!

Mimi pia nimewaza mengo sana babu Dark City.....nimemtafakari Mungu na nimeona ukuu wake.

Nikaukumbuka wimbo huu utokao ktk TUMWABUDU MUNGU WETU.

1. Ashukuriwe mwenye enzi, ametujalia mengi
Ni ukarimu wake mkuu, kwetu milele

Tuwe naye pote pote duniani
Tuwe naye pote (tumsifu pote)
Safari hii yetu duniani.
Tukiwa naye mwenye enzi, hatuna woga.

2. Hata tukiwa gizani, mwanga wake watutosha.
Kwa neno lake tapita, vipingamizi

3.Nazo hatari za njia, zikitujia,
Ee Bwana msaada wetu ni wewe, utawalaye.

4. Tunatazama mbinguni, utupe baraka yako
Hatuna nguvu wenyewe, utuendeshe.

Kweli ashukuriwe Mungu na hakika wenyewe hatuna nguvu. Ni kwa neema
 
Last edited by a moderator:
Mhh pole sana Mwanyasi na babu DC kwa ujumla.

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema na neema, atakuponya kaka yetu!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana kwa salamu na sala zako...

Mungu ni Mkubwa kwa kweli..

Babu DC!!

Babu hii habari ndio naisoma asubuhi hii...ni habari ya kusikitisha sana.

Lakini Mungu ni mwema natumaini ataendelea kumponya majeraha na maumivu aliyoyapata...

Maombi yangu yapo pamoja naye!
 
Mungu wetu aliemsimamia na kumpa nafasi ya kuendelea kuishi, hatamuacha kamwe. Mungu ashukuriwe kwa hili.
 
Babu hii habari ndio naisoma asubuhi hii...ni habari ya kusikitisha sana.

Lakini Mungu ni mwema natumaini ataendelea kumponya majeraha na maumivu aliyoyapata...

Maombi yangu yapo pamoja naye!
mimi nilidhani kapata mtu wa kumuogesha na nazi kumbee?
 
Back
Top Bottom