Mwanyasi yuko salama baada ya kupata ajali mbaya.....

Ashukuriwe Mungu kwa kumnusuru mwenzetu,pole sana mpendwa,tuko nyuma yako kwa maombi,tuna amini afya yako itatengemaa na kuendelea na majukumu yako siku sio nyingi. Ibilisi alipanga kukuangamiza lakini Mungu amekunusuru maana bado ana mpango nawe.
 
Pole sana Mwanyasi mungu akusaidie upone haraka.

Ashukuriwe Mungu kwa kumnusuru mwenzetu,pole sana mpendwa,tuko nyuma yako kwa maombi,tuna amini afya yako itatengemaa na kuendelea na majukumu yako siku sio nyingi. Ibilisi alipanga kukuangamiza lakini Mungu amekunusuru maana bado ana mpango nawe.

Nawashukuru sana ndugu,
hivi sasa niko salama Mungu kaniponya!
 
Back
Top Bottom