Mwanyasi yuko salama baada ya kupata ajali mbaya.....

Mwanyasi yuko salama baada ya kupata ajali mbaya.....

Pole sana kaka. Mungu atakuvusha. Hakuna lisilowezekana.
Babu shukrani kwa taatifa. Natumaini mtaenda kumuona. Kwa jinsi gharama za icu ya muhimbili zilivyo, wakati mnaenda naomba unitumie pm walau nikupe hela ya kumpelekea mchele.

Aisee wewe ni noma kama Mtambuzi....

Hebu fanya hima hima...week end hii lazima tukamwone mgonjwa...

Babu DC!!

Cc: KOKUTONA, CHUAKACHARA, YNNAH...
 
Last edited by a moderator:
he he heeeeeeeeeeeeeeeee,
bora hili limekupita..... mbona ningekoma!!!!!!!
Upo salama lakini mkubwa mwenzangu?


Limenipita lipi tena Mkubwa mwenzangu?

Mimi ni mzima sana....Bibi siku hizi amezidisha kukaba, hadi penalties hazipingwi ndugu yangu...

Ila tutafika tu...

Babu DC!!
 
Limenipita lipi tena Mkubwa mwenzangu?

Mimi ni mzima sana....Bibi siku hizi amezidisha kukaba, hadi penalties hazipingwi ndugu yangu...

Ila tutafika tu...

Babu DC!!
ha haaa, acha bibi akabe, maana wazee nyie mkiachiwa mnakuwa kama kuku wa kienyeji, lol!
tena ningekutana naye ningemwambia aongeze ufupi wa kamba, lol! mtakoma mwaka huu
 
ha haaa, acha bibi akabe, maana wazee nyie mkiachiwa mnakuwa kama kuku wa kienyeji, lol!
tena ningekutana naye ningemwambia aongeze ufupi wa kamba, lol! mtakoma mwaka huu


Huko ulikoenda walikuongezea dozi ya unoko??

Halafu huu ni uzi wa kumpa pole mwenzetu ujue...lol!!

Babu DC!!
 
Dah!! Pole sana broo, its so sad nakumbuka nilivyokuja tanga ulinipakia kwenye pikipiki mpaka Maua,
Mungu akuponye.
 
Ni bahati mbaya sana sikuuona huu uzi hadi nilipoelezwa jana! Pole sana ndugu yangu Mwanyasi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom