Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Duuuuh, makubwaa, kweli kila taasisi ya Urais Tanzania imefanywa ya kipuuzi!
 
Mi nafikir mwandosya kashindwa kusema c.c.m hakuna kiongozi wa kuwa rais. Rais mzuri na wakweli anatoka CHADEMA. ina maana hapo kadhihirisha kusema 2015 chadema lazima iingie ikulu.kafanya hivyo makusud ili ccm wamsimamishe makinda ili chadema ichukue nchi.
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

----------------------


My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS

Mmm kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Kwa mtaji huu hata kingwendu anafaa kuwa raisi.
 
Tatizo siyo mwandosya,kumbukumbu zinaonesha wakati anatoka kwenye matibabu india alipewa home rest angalau ya miaka miwili lakini badala yake alipofika tz akapewa state rest kwa hiyo tuweni wavumilivu na maneno yake.
 
Wanajamvi mesahau kuwa moja ya kazi Ya Prof.Mwandosya katika job description yake ni hiyo ya kupiga debe(c.f. WAZIRI WA NCHI ASIE NA WIZARA MAALUMU)
 
Tatizo siyo mwandosya,kumbukumbu zinaonesha wakati anatoka kwenye matibabu india alipewa home rest angalau ya miaka miwili lakini badala yake alipofika tz akapewa state rest kwa hiyo tuweni wavumilivu na maneno yake.

Msameheni bure mzee prof wa watu!!! He is sick.
Kuna gamba mmoja (sikumbuki nani) alisema hawa ni wazee wanasubiri kufa!!!!!
 
kichekesho!!!!
kwa gharama yoyote ile itakavyokuwa lazima nimtafutie bibi yangu nae ajaze fomu hiyo ya kutafuta urais.
kumbe magogoni ni kweupe kiasi hicho!
Hah ha ha ha! sina mbavu za kuumiza kwa kucheka japo huo ndo ukweli. Yaani kwa stail hii mama yangu akachukue form ya kugombea uraisi 2015. Kweli in Tanzania anyting is possible!
 
hatafutwi mkata kuni wewe kama shoka ndo aende place of dormicile kuna miti ya mbao kule!!!!

Anatafutwa rais wa nchi bhana hao hapo mjengoni chini ya elfu wanamtoa jasho na misheria ya kuwabana anayo ndo ataweza hili dambwe lote!!!!!

hahahahaha na kweli kwa kuni anafaa
 
You bet!! huo ni mkakati mahsusi wa kumuengua Edward Ngoyai Lowassa katika kinyanganyiro cha kugombea Urais 2015 mithili ya alivyoenguliwa Samwel Sitta kugombea Uspika awamu ya pili!!
 
Ndo shida ya kuacha wazee wafikiri kwa niaba ya nchi! Uwezo wao unafika mwisho na wakati wa vijana kufikiri maana ndo tutaishi kwa muda mrefu ikiwa Mungu akituepusha na ajali za vifo! Vijana ni wakati wa kufikiri na kuamua kwa ajili ya taifa!
 
Hahahahahaha!ukistajabu ya musa utakutana na ya firaun. Makinda awe raisi! Huyo mwandosya anafikiria kwa kutumia maka.... nn!
 
Makinda ni mwanamke wa shoka, we utabaki na wivu wako hapo

shoka lipi? na la kukata nini?
hata katika michezo ya wachina hutumia mashoka fulani hivi mepesi yanapinda kila upande ukiyatazama kwa haraka utasema jishoka kumbe si shoka kabisa.
 
Kama mawazo ya Watanzania ndio haya ya kupata rais kama huyu!! kwa mara ya kwanza natamani au nafikiria kujiondoa kuchangia JF! Au kutochangia kwa muda fulani any thread!
 
Tatizo lenu huwa hamtaki kushuhudia matukio kiudadisi hadi mwisho. Mimi niliona, alipomaliza kumsifia alitoa leso na kujifuta usoni, huku uso ukiwa ndani ya Leso aligeukia upande wa Makinda na Kumg'ong'a.:bored:.
 
Chukua ivo ivo bado ya moto

Anne sembamba makinda
Anna tibaijuka
Asha rose Migiro

huitaji degree kutambua uwezo wao katika utendaji kazi

hawa wamama ni mfano wa kuigwa na wamama wote tanzania kwa kila walicho achieve

sio siri na wame prove beyond reasonable doubt kuwa wana sifa zote za kuwa viongozi tena wa kuigwa

na bila shaka wana stahili nyadhifa zote wanazo shikilia na walizo wahi shikilia ndan na nje ya tanzania

hawa wamama wako far beyond na ile dhana ya women empowerment kwan they are self made

sidhani kma katika harakati zao wali subiri kuwezeshwa ndo waweze

hivo basi 2015 its now or never kwa wamama hawa wa shoka kushika hatamu za uongozi wa juu kabisa tanzania

i have a dream

ni wakat Tanzania sasa tuwe na rais mwanamke kwan ( hawa wanaume ukiacha nyerere wamefanya nini cha ajabu ??)

natoa rai kwa wamama hawa kokote walipo kufikiria kuchuana (yoyote kati yao) na kina slaa nikiona ndo the only way kwa ccm ku retain nchi na kutunusuru na nchi kushikwa na watu waliojaa siasa za visasi na chuki.



Amen,
 
Mkuu, umesahau pia na Anne Kilango Malecela. huyu mama ni jasiri sana na msema ukweli japo kiwango chake cha elimu sina hakika nacho
 
Back
Top Bottom