dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 24,964
- 57,079
Tuacheni mzaha na taasisi ya urais! Manake sisi ni watu wa mizaha hata pasipostahili - Bungeni! Kwa hali ya dunia ilivyo, EAC, SADC, religious extremism, poverty, hali ya kisiasa ndani ya nchi, hali ya uchumi wetu, kilimo, umasikini, n.k. tunahitaji someone who is very very strong than ever.
Ujinga tulijizoelesha wa sasa ni zamu ya mwanamke; ni zamu ya mzanzibari, ni zamu ya mkiristo, ni zamu ya Kusini, ni zamu ya kijana, n.k. unapaswa kufika mwisho bila kujali anatoka wapi, dini gani, kabila gani, au hata chama gani, n.k.