Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Uwezo wa makinda kiuongozi ni mkubwa sana. Unaweza kulinganishwa viongozi kumi wa upinzani wakiunganishwa kwa pamoja, ie 1 makinda = 10 opposition men leaders tena wa huku bara.
teh teh bibi kiroboto, je kwa wazee wa tindikali kule wanakodai mamlaka kamili?
 
hivi ameshaolewa tayari au ana 'Boyfriend' tu. Nauliza tu hasa kwa mwananke wa 'SHOKA'.
 
Lazima tujue kasemea wapi, labda alikuwa bar kapiga zake maji, tunakaa kudiskas maji ya mtu.
 
Ni kweli kabisa Mh. Makinda anafaa kuwa rais wa Prof. Mwandosya ila siyo rais wa watanzania wote.

Kweli urais umekuwa rahisi mno, very cheap!
 
Tunaagizwa na busara za kibinadamu kuheshimu maoni ya watu wengine lakini kwa walio na busara watajiuliza inawezekanaje kauli kama hii kutoka kwa Prof. aliye na sifa kama za Mark Mwandosya!!!!
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

----------------------


My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS
kwa utawala huu wa ccm mtu yeyote anaweza kuwa Rais lakini kwa utawala makini lazima kuwe na vigezo vya kuwa Rais wa nchi
 
hongera kikwete kwa kuwajengea watanzania uwezo wa kiuongozi na kujiamini kuongoza nchi.

hivi ndio maana yake eh! we kweli ifweeroooo, hata kutafsiri kunakushinda? watu wanamaanisha kuwa kuwa rais wa nchi kwa tz kwa sasa hivi ni jambo rahisi sana bila kujali kama mtu ana uwezo au la! na hapo hatujacount ilivyotu-cost kuwa na viongozi wa hivyo, maana kipindi hiki chote almost ni viongozi alimradi
 
Ni makinda gani awe Rais? Huyu spika? Kweli maradhi mabaya,pole kaka Mwandosya utapona tu.
 
Makinda ni mwanamke shupavu sana so pia wa Tz tunamtaka rais shupavu na mwenye kusimamia kauli zake ili zisiregerege right jK bhaaana........
 
Tunaagizwa na busara za kibinadamu kuheshimu maoni ya watu wengine lakini kwa walio na busara watajiuliza inawezekanaje kauli kama hii kutoka kwa Prof. aliye na sifa kama za Mark Mwandosya!!!!

Inaonekana Prof. Mwandosya yale maradhi yake sasa yameathiri ubongo. Napendekeza akapimwe akili pale juu Mirembe!
 
Mwandosya analeta dharau kwa watanzania sasa au kuwaona wapuuzi kwa kumpa Ubunge miaka yote hadi anataka kufa akiwa Mbunge ? What a Joke ? Makinda ?
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

----------------------


My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS

Nakubaliana na wewe kaka.kila mtu anaropoka anavyo jua yeye kuhusu urais.ikulu si lelemama -ni mzigo'
 
Tangu KIKWETE awe raisi kila mtu anajiona anaweza kuwa raisi. come 2015 mtaona mambo.

Mkuu Makinda'hajioni anaweza'ila PROFESSOR ndiye kamuona anaweza!Nadhani hata humu ataungwa mkono sana na hasa wanawake kwa sababu kubwa moja tu.Prof amesema.Maana ndio watu wanaoaminiwa sana kuwa wana akili kuliko watu wengine!Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kumwamini msomi wa Tanzania kwa sababu kama hizi hizi, ambazo hujitokeza sana kwa 'wasomi wa Tanzania'!Utasikia mchumi drj la I wakati ni kumbe ni kichomi drj la kwanza

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom