Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Natumai hata Mwanangu wa Chekechea anafaa kuwa Rais maana huwa anaongea vitu vya msingi kuliko hata Anne Makinda wenu
 
...Tuiombee CCM imteue MAKINDA awe mgombea wao wa urais kama kweli hawasemi wasichokiamini hata wao.
 
hatafutwi mkata kuni wewe kama shoka ndo aende place of dormicile kuna miti ya mbao kule!!!!

Anatafutwa rais wa nchi bhana hao hapo mjengoni chini ya elfu wanamtoa jasho na misheria ya kuwabana anayo ndo ataweza hili dambwe lote!!!!!

kila mtu anafaa kuwa rais inategemea ni rais wa nini.makinda anafaa kuwa rais wa chekechea na si vinginevyo.
 
.Huo ni mtazamo wa mwandosya.nina uheshimu sana .ila kwangu mimi mama Timmy hafai kabisa
 
Nina uhakika ikifika 2015 wale vichaa wa milembe karibu na mjengoni nao watapendekeza mwenzao agombee uraisi wa tz.
 
Mwandosya analeta dharau kwa watanzania sasa au kuwaona wapuuzi kwa kumpa Ubunge miaka yote hadi anataka kufa akiwa Mbunge ? What a Joke ? Makinda ?

Halafu anasahau kwamba hiyo ngoma pamoja na uprof wake aliwahi kuiivaa akamwagwa vibaya! Kwa kigezo kipi huyo "Mwenye Mbwa" atafaa?
 
Kama Rais mwanamke basi atakuwa Prof Tibaijuka!......!au ikishindikana basi Bi Salma!hahaha maana atapata ushauri wa kuweka auto pilot tu!

We acha hayo maneno - Tibaijuka ni jeuri na anakiona sana. Rais wa namna hiyo ni balaa kubwa. Kama ni suala la mwanamke wapo wengine wengi tu. Anna Abdallah na uzee wake, Asha Rose Migiro, Jenista Mhagama etc
 
Kutokuwa na wizara maalumu ndo anaongea mambo yasiyo maalumu.
 
Makinda ni mwanamke wa shoka, we utabaki na wivu wako hapo

Ni kweli Makinda anafaa kuwa "rahisi" wa maccm. Mimi sioni uwezo wake wa kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Kwa vigezo gani huyu mama awe Rais? Kweli tangu JK awe 'rahisi' kila mtu anafaa kuwa 'rahisi' maana kwa JK urais ni kitu rahisi sana
 
==> mmmhh...kweli ukizeeka ubongo kazi kweli...au ni ule ugonjwa ulimvuruga...
 
ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya leo eti mzee mwandosya amempendekeza anna makinda kwa urais 2015.

----------------------


my take:
Uraisi sasa imekuwa ni joke na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata job description ya urais

kwani amepata kura ngapi?
Na kama kulikuwa na wagombea walikuwa wangapi?
Tanzania tutafaidika kivipi kwa hilo?
Kuna uhusiano gani kati ya hilo bunge na urais wa tanzania?
Kwani mama migiro na huyu segito nani zaidi?
 
Back
Top Bottom