Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi

Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi

Pamoja na kumshambulia mleta mada, mimi nina maoni kiasi tofauti na yeye na wengine lakini yanaendana kimaudhui!
NI BUSARA PROF. MWANDOSYA AKAACHISHWA KAZI KWANI KI UKWELI HAMNA TIJA KATIKA KAZI ALIYONAYO SASA. LAKINI SERIKALI IEDELEE KUGHARAMIA MATIBABU YAKE, KAMA AMBAVYO INAFANYA KWA WATU WENGI WATANZANIA AMBAO NI MASKINI NA WANATIBIWA KWA MUDA MREFU SANA NA SERIKALI.

Na huo ndo ukweli!

Hiyo tija unaipima wewe au waliompangia kazi. Kwanza jiuliza wewe umeonyesha tija gani kwenye taifa hili?
 
Watanzania tuna chuki mbaya sana na hii itatumaliza wenyewe kwa wenyewe,

Yaani Binadamu mwenzako anaumwa but wewe inakuuma kuona anagharamiwa Matibabu, ndiyo serikali ya ccm inatutesa sana lakini kwenye wagonjwa tuache uadui as haujafa haujaumbika

Tatizo la baadhi ya watanzania ni kwamba hata kukubaribisha nyumbani kwake kupata chakula ni tabu, ndiyo maana wanajadili hata mtu kuumwa.

Kimsingi Prof. Mwandosya yuko fit sana kwani nimetoka kuongea naye muda si mrefu uliopita. Hivyo wenye chuki hasa wanaotumwa na mbaya wake EL wataumia sana hadi kufikia 2015.
 
Mtoa mada ni mnafiki wa kutupwa , hajatoa tathmini ya mchango wake yeye kwa taifa ili tumwelewe , ndiyo maana nimemtakia kifo yeye na nduguze ili atoe mchango wake kulipunguzia taifa matatizo.

Hajajibu, nafikiri anajiweka yeye mbele zaidi kuliko wengine katika mustakabali wa nji hii.

Mtoa mada when will you die?

Tumhurumie jamani kwani nimeongea naye muda si mrefu mtoa mada ameniambia si akili yake iliyotumika ila katumwa na EL .
 
Katika hela zote zinazofujwa Tanzania, hizi za gharama kwa Mwandosya kama Waziri asiye na Wizara Maalumu umeona ndio zinakutia sana uchungu? Na lini umefanya tathmini ya kazi anazofanya Mwandosya kama waziri asiye na wizara maalumu ukaona serikali haifaidiki na mchango wake bali inaingia hasara kuendelea kuwa naye kama waziri?

Siku nyingine jitahidi kuiweka akili katika gia kabla vidole havijaanza kuandika.
 
Mtoa mada ajadharau uwezo wa prof. Mwandosya wote tunaukubali, lakini kuna haja gani ya kuendelea kuwa waziri tena hasiye na wizara maalum wakati muda wote ni mgonjwa ilo ndo mtoa mada ana hoji? pia kwa umri wake ni mstaafu anayo mafao yake ni kwanini asianze kuyatumia sasa ili fedha za walipa kodi zisitumiwe vibaya, Kujibu kwa kueleza elimu yake au uwezo wake wa kuwa kichwa darasani halikuwa jibu sahihi
 
apishe wengine, apumzike tu, anatia hasara kama bosi wake anavyotutia hasara kwa safari za ulaya kila siku,
 
Mtoa mada arigold, when will you and your family die, ili ulipunguzie taifa mzigo?
 
Natofautiana na wewe. Badala ya kutaka aondolewe kutokana na maradhi yanayomsumbua ili awekwe kijana, bali namwombea Mungu amponye ili aendendelee na majukumu yake. Kumbuka yeye hakutaraji ataugua na kushinda Apolo ila imetokea tu bahati mbaya. Na hili linaweza kumtokea mtu yeyote wa rika lote hata vijana.

Nakubalina nawe juu ya hali duni ya wodi zetu kama zinavyojieleza kwenye picha uliyoiambatanisha. Kwa kuwa tunajua kuzaa kupo na idadi ya watu inaongezeka kuliko miundombinu (i.e. wodi) tulizozonazo, nashauri tusisubiri serikali itujengee bali hata sisi wananchi tunaweza kuchangia kujenga wodi kwa mfano katika hospitali zetu. Kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaboresha miundombinu yetu badala ya kulaumu tu

Mwark Mwandosya. Hali yake ki afya dhaifu
lakini pension yake iko kwa nini asi resign, ili apishe vijana wenye afya kufanya kazi?

Kwa nafasi yake kama waziri ambaye hana kazi inabidi alipiwe:

Nyumba
Ulinzi
Mkewe
wanae
Nyumba
Bills
Hoteli
Pesa za usumbufu
Matibabu
Usafiri
Dereva
Usafiri wa FIRST CLASS akipanda ndege
Simu
madereva

Namshauri JK futa cheo chake huyu mzee, mpeni pensheni yake na PSPF yake kisha wananchi wapumzishwe.

Sioni sababu ya kumgharamia mtu ambaye muda wote yuko Apollo Hospital, India


wenye kujua mwongozo wa Utumishi watueleze hii kweli ni haki waziri kugharamiwa almsot mwaka mzima?

Katiba mpya iweke wazi mambo haya.

Hali halisi ya wodi za hospitali zetu ni hiii:

306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg
 
Hiyo tija unaipima wewe au waliompangia kazi. Kwanza jiuliza wewe umeonyesha tija gani kwenye taifa hili?

Kama unajua maana ya tija, basi hakuna haja ya kubishana, unless otherwise hujui maana ya tija!
 
Mkuu wa nchi anajua alichofanyiwa Professor na ushenzi wa siasa isiyoadilifu kudhuru badala ya hoja.
 
waacheni wafaidi matunda ya bongo zao, nyie shule mnaogopa, kuwa waziri ni kazi! acheni kijicho
 
Mwark Mwandosya. Hali yake ki afya dhaifu
lakini pension yake iko kwa nini asi resign, ili apishe vijana wenye afya kufanya kazi?

Kwa nafasi yake kama waziri ambaye hana kazi inabidi alipiwe:

Nyumba
Ulinzi
Mkewe
wanae
Nyumba
Bills
Hoteli
Pesa za usumbufu
Matibabu
Usafiri
Dereva
Usafiri wa FIRST CLASS akipanda ndege
Simu
madereva

Namshauri JK futa cheo chake huyu mzee, mpeni pensheni yake na PSPF yake kisha wananchi wapumzishwe.

Sioni sababu ya kumgharamia mtu ambaye muda wote yuko Apollo Hospital, India


wenye kujua mwongozo wa Utumishi watueleze hii kweli ni haki waziri kugharamiwa almsot mwaka mzima?

Katiba mpya iweke wazi mambo haya.

Hali halisi ya wodi za hospitali zetu ni hiii:

306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg
ndugu hii hospitali ya wapi?? usije ukawa umeweka picha ya hospitali Dafur ili ukazie hoja yako!!!! jina na wodi namba pleaseeeeeeeeeee
 
Hukufanya utafiti wa kutosha. Mwandosya katumikia Taifa hili kwa muda mrefu na bila shaka anachopewa ni kidogo ukilinganisha na wanachopewa unaowashabia ambao pia wameiibia nchi na wengine wanalipwa pamoja na kuwa hawako kazini.
Hata kama katumikia Taifa muda mrefu kwa hali yake apumzike sasa sio kulindana tu.
 
mwacheni ale ruzuku yake...alishaomba ajiuzulu JK akakataa, JK alikua kama vile messi akaona akimweka mwandosya kwenye safu yake basi vijana wote wa mbeya atakua amewaweka kwenye kiganja chake...watu wana akili si mchezo
 
Tumhurumie jamani kwani nimeongea naye muda si mrefu mtoa mada ameniambia si akili yake iliyotumika ila katumwa na EL .

Hata kama katumwa na yeyote, siasa isifikie watu kukosa utu.
Hata kama watu mnatofautiana kiitikadi , mada kama hizi zinakosa uhalisia wa utu katika jamii ya kitanzania.

Kuna huyo mdau Masopakyindi amemtaka mtoa mada aeleze ni lini yeye(mtoa mada) atakufa!
Jamani tumefikia hapo?

Lakini inaelekea mtu mwenye mawazo kama ya mtoa mada, naye anaweza kuzushiwa mabaya asiyotarajia katika jamii.
 
Back
Top Bottom