Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi

Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi


Ebu jikumbushe kwanza hapa.
Education (Prof. Mark James Mwandosya)

  • University of Birmingham - UK PhD (Electrical & Electronics Eng.) 1974 - 1977

  • Aston University - UK BSc. (Engineering) Hons. 1971 - 1974

  • Dar es Salaam Technical College A-Level Education 1969

  • Malangali Secondary School O-Level Education 1965 - 1968

  • Chunya Middle School Primary Education 1961 - 1964

  • White Fathers Chunya Primary School 1959 - 1960

  • Majengo Pri 1957 - 1958[SUP][1][/SUP]
Angalia kwenye bluu
Umuhimu wa mtu ni akili kwanza. Wewe katika maisha yako umewahi wasikia watu wangapi ambao baada ya kumaliza elimu yao ya shahada akaunganisha kusomea Phd bila kupitia PG au Masters. Hapa ndipo utakapoona umuhimu wa huyu Prof. Mwandosya tofauti na wengine.

Nje wamekuwa wanamuhitaji sana miaka nenda rudi, Ivy League Universities, International Institutions kama World Bank n.k, lakini wakati wote amekuwa akifuata maamuzi ya moyo wake ambao ni kulitumikia taifa lake la Tanzania; Na mamlaka za uteuzi zinalifahamu hili kwa ufasaha; Tuacheni fitina, badala yake tuwaenzi watu kama hawa; bungeni mle ma-professor wenye hadhi ya kimataifa ambao wanaweza kuingia chuo kikuu chochote duniani na kupewa standing ovation ni Prof. Mwandosya pekee;

Kibanda aliwahi kuandika juu ya kiongozi huyu, makala yake ipo kwenye link ifuatayo:
http://absalomkibanda.blogspot.com/2006/04/mwandosya-msomi-huyu-ataiweza.html
 
Kama raia wengine wa nchiin hii wasio na kipato wanakufaa kwa magonjwa kutokana na huduma mbovu za afya hapa nchini.Kwanini nao kama viongozi tena wenye kipato wasijitegemee kwa matibabu?

Tatizo letu tunaona uhai wa kiongozi una thamani kuliko wa mlala hoi.

Bila uwepo wa wananchi wa kawaida hawa vingozi wangekuwepo kwa ajili ya nani?


Tatizo tulilonalo ni lawala dhidi ya viongozi wetu,ilihali tukisahau wajibu wetu wa msingi wa namna ya kuendesha,kupanga na kuratibu maisha yetu ya kila siku.Kuwatumia hao kinamama kama kigezo cha kuhoja uhalali wa Prf. kuweko kazini si hoja,hoja ni namna gani hao kinamama kwa wakati mmoja wanarundikana mahospitalini kujifungua kwani wengine hapo bado watoto kabisa.Mtoa mada kama angetumia picha hizo kutupatia elimu juu ya uzazi wa mpango ingekuwa ni jambo jema na la busara sana.
 
Hukufanya utafiti wa kutosha. Mwandosya katumikia Taifa hili kwa muda mrefu na bila shaka anachopewa ni kidogo ukilinganisha na wanachopewa unaowashabia ambao pia wameiibia nchi na wengine wanalipwa pamoja na kuwa hawako kazini.
 
Naona kama huyu jamaa kawekwa pale na wakubwa kwa mslahi ya kisiasa zaidi ya MUKULU...........
 
Angalizo lako linaweza kuwa lina maana tu pale ambapo jamii inakuwa imeishiwa moral autholity katika maamuzi.

Ukiwa mmoja wa wananchi wa Tanzania, nchi ilimuhitaji wakati akiwa fit kwa sasa unataka kumtelekeza kwa vile ni mgonjwa. Kama huo ndiyo ubinadamu, basi tuko wengi ambao hatuna.

Think bigger and act logically
 
Kutelekeza Chadema ndio kazi yenu, wale wafiwa mmeacha kuwahudumia baada ya viongozi wenu kupiga picha za magazeti hawakuonekana tena, sasa unataka serikali isimhudimie Mwandosya eti kwa gharama za matibabu kweli chama chenu utu hamna!

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg

Jamani nielezeni hii picha inatoka wapi?
 
Nje wamekuwa wanamuhitaji sana miaka nenda rudi, Ivy League Universities, International Institutions kama World Bank n.k, lakini wakati wote amekuwa akifuata maamuzi ya moyo wake ambao ni kulitumikia taifa lake la Tanzania; Na mamlaka za uteuzi zinalifahamu hili kwa ufasaha; Tuacheni fitina, badala yake tuwaenzi watu kama hawa; bungeni mle ma-professor wenye hadhi ya kimataifa ambao wanaweza kuingia chuo kikuu chochote duniani na kupewa standing ovation ni Prof. Mwandosya pekee;

Kibanda aliwahi kuandika juu ya kiongozi huyu, makala yake ipo kwenye link ifuatayo:
Fikra Pevu: Mwandosya, Msomi huyu ataiweza mikikimikiki ya urais?


Kumbe jamaa alisoma Dar-Es-Salaam Technical College. Mwacheni ale tu.
 
Hukufanya utafiti wa kutosha. Mwandosya katumikia Taifa hili kwa muda mrefu na bila shaka anachopewa ni kidogo ukilinganisha na wanachopewa unaowashabia ambao pia wameiibia nchi na wengine wanalipwa pamoja na kuwa hawako kazini.

Adui Muweke Karibu......


JK hawezi kumuondoa mwandosya.....kwani anaujuwa ugonjwa wake ulikotoka...
 
Hizo hela anazopewa mwandosya ndio zita ondoa matatizo yoooote kwa watanzania?
 
Hapo ni hospitali ya apolo, tanzania, ile jamhuri ya muungano wa tanganyika na zimbabwe.

Kama mambo yenyewe ni haya, viongozi wa upinzani wajiuzulu tu. Hawawezi kuongoza upinzani.
 
badala ya kuhoji kwanini tunapata dola 4 tu na wenye mahoteli wanapata dola 300 kwa kila mtu unahoji ugojnwa wa mtu
 
wwww; Mzee Mwandosya ni mashine! Shule imesimama, busara zimepitiliza kiwango, Mcha Mungu, ana upendo, mcheshi na akili nyingi. Alifaa kuwa rais asiye na nchi maalum
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom