Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi

Watanzania tulipofikia ni pabaya, na hii inaonyesha kabisa kwamba kuna watu wakipewa madaraka kuna uwezekano wa kuachisha kazi wale wote ambao wanasumbuliwa na magonjwa mara kwa mara including HIV / AIDS kwa imani kwamba wanafilisi taifa bila kujali kwamba huyo anaeachishwa kabla ya kupata ugonjwa kuna mchango wake mkubwa ambao ameufanya, sasa hapa serikali siku ikamtelekeza ndugu yako kisa anaumwa utajisikiaje?(hapo angeachwa kuna watu wangesema "KUUMWA SIO KUFA" kwanini amemwacha).
 
chuki binafsi haifai
na pia KINYWA CHA IBILISI HAKIWEZI KUBARIKI
 
Watanzania tulipofikia ni pabaya, na hii inaonyesha kabisa kwamba kuna watu wakipewa madaraka kuna uwezekano wa kuachisha kazi wale wote ambao wanasumbuliwa na magonjwa mara kwa mara including HIV / AIDS kwa imani kwamba wanafilisi taifa bila kujali kwamba huyo anaeachishwa kabla ya kupata ugonjwa kuna mchango wake mkubwa ambao ameufanya, sasa hapa serikali siku ikamtelekeza ndugu yako kisa anaumwa utajisikiaje?(hapo angeachwa kuna watu wangesema "KUUMWA SIO KUFA" kwanini amemwacha).

Mkuu nakushukuru kwa maoni haya.
Ndionmaana mimi nilimtakia kifo mtoa mada ili aelewe uzito wa mada yake, naona kaingia mitini.

Siasa inapogusa maisha ya mtu binafsi, hasa kwa jambo tunaloliongelea kwa unafiki, sasa twaweza kuona kuwa likitirudidia tunaingia mitini.

Tuwe wakweli katika kutoa ,maoni.
Mtoa mada hamtakii mema Mwandosya, kisngizio eti Taifa, yeye anaogopa kulifia Taifa hilo hilo.
Unafiki mtupu!!
 
Back
Top Bottom