Mwandishi Nguli Shaka Ssali amtembelea Edward Lowassa

Mwandishi Nguli Shaka Ssali amtembelea Edward Lowassa

Mzee wa safari ya matumaini-hahaha!
hatutaki huo upuuzi na ulaghai wa akina ngombale kudai mabadiliko akati wametumia robotatu ya maisha yao ccm. halafu nyumbu wanashangilia aibu sana

Ngw'ana Kabula
 
Akaja mtu mmoja bana ,si kulikuwa na mkikuyu pembeni yetu akapayuka,,,,,,,you ,did you come with your foreskin? Wengi wetu tukapigwa na butwaa ,iweje mtu mzima awe na sweta? Je,kuna baridi kiasi hicho?......DDDD. Just kidding.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaa!!! lendaga shi, dubhatule mumo ghete ngalū

Ngw'ana Kabula
You nany stop your nonsense in this thread. This thread has been perused by international and intelligent individuals who pay heed to Lowasa
 
hatutaki huo upuuzi na ulaghai wa akina ngombale kudai mabadiliko akati wametumia robotatu ya maisha yao ccm. halafu nyumbu wanashangilia aibu sana

Ngw'ana Kabula
Inasikitisha sana!Nasikia mzee kaomba poo!
 
jk naye ashawahi kuwa interviewed na shaka,najiuliza bwana yule lini atasailiwa
IMG-20170902-WA0014.jpg

"Bwana yule" ataishia kuchorwa kwenye miili ya wahuni na wala unga wa manzese
 
Maagizo toka juu ,yata sababisha Diallo azuie mahojiano hayo yasirushwe Star tv
 
Maagizo toka juu ,yata sababisha Diallo azuie mahojiano hayo kurushwa Star tv
 
Back
Top Bottom