Mwandishi Nguli Shaka Ssali amtembelea Edward Lowassa

Mwandishi Nguli Shaka Ssali amtembelea Edward Lowassa

jk naye ashawahi kuwa interviewed na shaka,najiuliza bwana yule lini atasailiwa
asailiwe ili iweje, pelekeni huko maigizo ya mic na kamera + editing ya mahojiano, hayasaidii lolote

Ngw'ana Kabula
 
Kweli kabisa unenayo!Hata ndg yetu Eddo,pamoja na kuutafuta kwa jasho na damu km hao u-Rais atausikia tu hadi mwisho wa....yake!
Eddo yeye lengo lilikuwa kugombea na kuona watanzania wanamkubali to what extent,na hilo lilitimia ndo maana mzee kawasamehe hata watesi wake.Waliomtakia kifo karibia wote wametangulia mbele ya haki,mzee amewasamehe na sasa anakula pension zake ,hana presha na urais tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba wamejaa division zero tuu na phd za kuhonga,,,,,,,Taratibu ana zero Azania,Bashite ana zero ...... Makinikia ana phd ya ugoko ,,,,,DDDDDD,,,,,,Ole Sendeka ana zero.......DDD.....


ugali moto,mboga moto tufanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
mwenyekiti wa nyumbu ana divisheni ngapi kweli!! chama kuongozwa na sifuri inaakisi wazi kuwa wanachama wake nao ni sifuri tu.

Ngw'ana Kabula
 
Back
Top Bottom