Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,769
- 22,060
ila hana nyota ya ushindi tu.Jamaa ana nyota ya kupendwa na watu sana.
Ngw'ana Kabula
ila hana nyota ya ushindi tu.Jamaa ana nyota ya kupendwa na watu sana.
Watakucheka watu!!!Eddo yeye lengo lilikuwa kugombea na kuona watanzania wanamkubali to what extent,na hilo lilitimia ndo maana mzee kawasamehe hata watesi wake.Waliomtakia kifo karibia wote wametangulia mbele ya haki,mzee amewasamehe na sasa anakula pension zake ,hana presha na urais tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna cha kuchagia kuna jukwaa la jokes,naona unachekacheka tu au unauza nyagoMzee wa safari ya matumaini-hahaha!
anafill comfortable,vip mbona huuzi ya Shaka[emoji1] me nime hoji tu labda kuna maana kwny ukaaji wa mtu
G.O.M.D
Kuna maswali mawili kashindwa kuyajibuItakua lini mkuu sitaenda discussion siku hiyo ili niweze kumsikiliza nguli wa siasa za ushindani na za kistaarabu hapa East Africa
Maneno ya mkosaji!Kama huna cha kuchagia kuna jukwaa la jokes,naona unachekacheka tu au unauza nyago
Ndiyo shida ya kukulia kwenye tembeila hana nyota ya ushindi tu.
Ngw'ana Kabula
hahahaa!!! lendaga shi, dubhatule mumo ghete ngalūNgw'ana Kabhu,yaaah!Pole pole namhala!
Kwa Akili hizi hata hiyo elimu haikusaidiiiItakua lini mkuu sitaenda discussion siku hiyo ili niweze kumsikiliza nguli wa siasa za ushindani na za kistaarabu hapa East Africa
Umemuona huyo mmoja tuu,lkn huyo ni bingwa kisiasa na kiuchumi,,,,unamlinganisha na nani kiuchumi nankisiasa? Bila mahakama bila polisi bila Wakurugenzi madc nk,ameiongoza Chadema hadi kuisimamisha nchi hapo utasemaje?mwenyekiti wa nyumbu ana divisheni ngapi kweli!! chama kuongozwa na sifuri inaakisi wazi kuwa wanachama wake nao ni sifuri tu.
Ngw'ana Kabula
Kama ni watu wale wenye akili za makinikia ,na wanicheke tuuu.Watakucheka watu!!!
Nje ya mada!Ndege yetu inaingia lini?
Nyie wachunga ng'ombe kuweni na akili basi,hahahaa!!! lendaga shi, dubhatule mumo ghete ngalū
Ngw'ana Kabula
Halafu mkuu hili jina nina wasiwasi kama alienda jando!Ndiyo shida ya kukulia kwenye tembe
Tanzania imepoteza bahati sanamuzee na busara zake...tumekosa bahati ya kuwa na prez kwenye hekima na maono huyu sio zee la visasi ILA Ni mwajibikaji asiye na kukrupuka katika uongozi na ubabe wa kishamba
......hahahaa!!! lendaga shi, dubhatule mumo ghete ngalū
Ngw'ana Kabula