Mwandishi Nguli Shaka Ssali amtembelea Edward Lowassa

[

Mwandishi Nguli na mtangazaji wa Kipindi Maarufu cha Straight Talk Africa-Shaka Ssali amemtembelea Edward Lowasa waziri mkuu mstaafu

Shaka amefarijika sana kuonana na kufanya mazungumzo na Mh.Lowasa na kuweka wazi kuwa amekutana na The Most Tolelant Politician.

Ndugu Shaka amefanya mazungumzo ya kina na Lowasa kuhusu maoni yake juu ya demokrasia ya Tanzania. Mahojiano hayo yatarushwa kupitia Star TV katika kipindi chake cha Straight Talk Africa

Watu wa mwanzo kuingizwa kwenye timu wa wazungusha mikono ni huyo Shaka Ssali na mwenzake mmoja kutoka DW.
 
Lazima watarusha hicho kipindi maana ni mkataba kati yao na VOA. VOA ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa Star Tv na masharti ni kurusha vipindi vyao kama ilivyo kwa BBC.
Yangu macho!
 
View attachment 581447
View attachment 581448

Mwandishi Nguli na mtangazaji wa Kipindi Maarufu cha Straight Talk Africa-Shaka Ssali amemtembelea Edward Lowasa waziri mkuu mstaafu

Shaka amefarijika sana kuonana na kufanya mazungumzo na Mh.Lowasa na kuweka wazi kuwa amekutana na The Most Tolelant Politician.

Ndugu Shaka amefanya mazungumzo ya kina na Lowasa kuhusu maoni yake juu ya demokrasia ya Tanzania. Mahojiano hayo yatarushwa kupitia Star TV katika kipindi chake cha Straight Talk Africa
Mwendawazimu tu huyo jamaa, alitumika pia kujaribu kumuweka lowassa ikulu ila watanzania tulikataa.
 
Back
Top Bottom