Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,187
- 138,486
Mwandishi Nguli na mtangazaji wa Kipindi Maarufu cha Straight Talk Africa-Shaka Ssali amemtembelea Edward Lowasa waziri mkuu mstaafu
Shaka amefarijika sana kuonana na kufanya mazungumzo na Mh.Lowasa na kuweka wazi kuwa amekutana na The Most Tolerant Politician.
Ndugu Shaka amefanya mazungumzo ya kina na Lowasa kuhusu maoni yake juu ya demokrasia ya Tanzania. Mahojiano hayo yatarushwa kupitia Star TV katika kipindi chake cha Straight Talk Africa