WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Jamani mimi naomba kujulishwa kwamba mauaji haya ya Kikatili kwa waandishi wa habari hadi lini??!!!
Hivi majuzi zimeripotiwa habari za mauaji ya mwandishi wa Redio Kwizera iliyopo wilayani Ngara Mkoani Kagera Issa Ngumba!Taarifa za Daktari aliyeufanyia uchunguzi mwili wa Marehemu Dk.Primus Ijumaa zinaeleza kwamba alinyongwa!
Inaumiza sana nadhani kuna haja ya waandishi wa habarkuangalia kwa makini mauaji haya yaliyowakumba wenzao,potelea mbali ni vigumu kufahamu matatizo aliyokuwa nayo mwandishi huyo lakini ALL in ALL hakupaswa kufanyiwa unyama kama huu.
Jamani kwa hali hii nchi yetu kuna usalama kweli kwa waandishi wa habari,na hata raia wengine?
HUU NDIO MWILI WA MWANDISHI ISSA NGUMBA KAMA ULIVYOKUTWA PORINI!!