Mwandishi huyu aliuawa kinyama sana!

Mwandishi huyu aliuawa kinyama sana!

Tusiishie kuonge tu inatakiwa tumtoe mwenye kijani na njano madarakani we are tired sitaki hata kuwasikia maana wamenichosha sn wanalala wanakula maisha na familia zao sisi wanyonge tunazidi kuisha.
 
Waungwana kuna taabu moja hapa waandishi waliouawa tofauti na Mwangosi walikuwa wakitumiwa pia kama informer wa usalama wa Taifa.
Wabheja sana pia akae chonjo kwani anajua marehemu Masatu na Issa walikuwa huko
 
Mkuu hapo kwenye RED unamaanisha nini?!!

Waungwana kuna taabu moja hapa waandishi waliouawa tofauti na Mwangosi walikuwa wakitumiwa pia kama informer wa usalama wa Taifa.
Wabheja sana pia akae chonjo kwani anajua marehemu Masatu na Issa walikuwa huko
 
Tumeishia kutawaliwa na watawala ambao hawawezi kuisimamia sharia. Polisi wanaua ovyo tu, raia wanua ovyo, yaani hakuna kinachoenda. Kama nchi haina utawala na kila mmoja anafanya anachotaka haya ndiyo matokeo. Tangu haya mauaji yameanza hakuna kile serikali imekifanya. Ni wako busy kukazana kuuza raslimali zetu tu na wala hawana habari na maisha ya mtanzania wa kawaida. Kwa kweli Kikwete na viongozi wote wamelaaniwa na damu hizi za wanyonge ndiyo maana hawawezi kuwasimamia hata wakimbizi wenyewe na badala yake wamewageuza watanzania kuwa akimbizi kwenye nchi yao wenyewe.
 
inasikitisha kuona watu wanashindwa kufanya kazi zao kwa uhuru eti kisa kuna watu ni untouchables.........
 
Mkuu Masanilo umenifanya nicheke sana,pamoja na kwamba kifo cha huyo mwandishi kimeniumiza sana moyo!!!!!we ngoja wenyewe waione hiyo Comment yako watakupa za uso!!

hapo kwenye kijani kwani siku hizi mkuu WABHEJASANA 'umesilimu' chama ninavyokujua wewe ni 'daka'
 
Back
Top Bottom