Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

Kwani Jk ni nani? si unajua alivyo dhaifu, hata angeagiza chochote na mtu asitekeleze hawezi kuwawajibisha.
 
Wananichefua polisi hawa wasojisoma hata haya hawaoni kila kukicha huku polisi wameua nao tuwaue sasa kwenye mabaa hata kwa sumu tumewachoka polisi kaaaa.
 
Suala ili usitake kuligeuza kisiasa na kuwa mtaji kwa Chadema hakuna mtu anayeshabikia polisi kuuwa raia... Unataka kutuambia mama Jay na mama Juma pamoja ni wafuasi wa Chadema.

U cant dragg me out of point Ritz. Pole sana. What is politcs? Kwenye hiyo hoja yangu tena mistari miwili where is CHADEMA. Unashabikia polisi kuua, ndiyo maana unauliza maswali yenye mantiki zilizopinda. I dont care kama ni wafuasi wa chama chochote au hawana chama kabisa, lakini hatuwezi kukubali nchi hii muigeuze police state. Haya ni maisha ya watu, huu ni uhai. Come on. Mambo haya yanafanywa na yataendelea kufanywa kwa sababu polisi wamepewa amri vibarazani kufanya wanayoyafanya. Ndiyo maana wanaua wala hakuna anayewajibika au kuwajibishwa.
 
If journalists are Tanzanians, and journalists are not safe, then Tanzanians are not safe!.

Kama jukumu kuu la polisi ni kulinda raia na mali zao, lakini jukumu la polisi wetu badala ya kulinda rais wao ndio wauaji number one, tuki waorganise raia nao walipize kisasi kwa kuwaua polisi wauaji, jee huu utakuwa ni uchochezi?.

Kwani Tahrir squire ilianzaje?, kama ni kweli nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu, kama wao waliweza, kwa nini sisi tushindwe?.

Pasco!.

Big No Pasco !!!!unayoyasema naona ni kama naona siamini wewe na kiberiti kwenye kituo cha Petrol station!!nakutambua kama shabiki mkubwa sana wa aina fulani ya kada.Unapochange na kusimama upande mwingine unanitia hofu sana manake asiye amini siku akiamini uwa na IMANI KALI SANA.Ebu tuombe tusifike kwenye stage ya hamasa ya baadhi kuorganize raia walipe kisasi,huko ni kwenda kituo cha mafuta ya Petrol na kiberiti cha gesi.

Nazani kama ili limetokea ni matumaini jukumu la waandishi wa habari nao kujijua wako kwenye hali gani kwa sasa,ni wakati mwafaka wafanye investigative journalism juu ya swala la mwandishi mwenzao huyo,imani yangu ni kuwa sio kila POLISI ni adui wa umma,si vyema kujumuisha.Ebu waandishi wa TANZANIA wafike sehemu nao wabobee!!!ni matumaini yao watakaa kimya na si kupayuka na kisha wataingia mzigoni kupiga kazi nzito ya INVESTIGATIVE JOURNALISM kujua ni nani yuko nyuma ya hili.Kwa umoja wao wataweza wasisimame upande wa kulijaza jesshi hasira na kulifanya nalo lighafilike kujiona liko pekee yake na hakuna anaetambua mchango wao.

KAMA KWELI WANA UJUZI WA KUPATA HABARI NYETI,ZA UFISADI BASI WATUONYESHE KUWA WANAUJUZI WA KUJUA NANI YUKO NYUMA YA ISSUE NZIMA HIYO.Ila wasikurupuke kulitwisha Jeshi lawama za jumla nao ni binadamu tunapowasakama wote hawafai basi wanavunjika moyo na walio wabovu wanapata nafas ya kuongeza makovu ya ufa huo.
 
Dah ! Mwizi mwizi ! Mai mbee! Mtu unagongewa unafungua mlango unakula risasi heti mwizi hicho ndicho chumba cha mwizi waliambiwa? Mimi sisemi na kwangu wasije wakasake mwizi?
 
Kwao kila kitu ni bahati mbaya, kwa mwananchi wa kawaida hakuna bahati mbaha katika kuheshimu sheria za nchi. Cha ajabu hadi sasa kama habari hii ni ya kweli hakuna askari ambaye yupo kizuizini hata kwa ajili ya kulinda usalama wake tu.
 
Big No Pasco !!!!unayoyasema naona ni kama naona siamini wewe na kiberiti kwenye kituo cha Petrol station!!nakutambua kama shabiki mkubwa sana wa aina fulani ya kada.Unapochange na kusimama upande mwingine unanitia hofu sana manake asiye amini siku akiamini uwa na IMANI KALI SANA.Ebu tuombe tusifike kwenye stage ya hamasa ya baadhi kuorganize raia walipe kisasi,huko ni kwenda kituo cha mafuta ya Petrol na kiberiti cha gesi.

Nazani kama ili limetokea ni matumaini jukumu la waandishi wa habari nao kujijua wako kwenye hali gani kwa sasa,ni wakati mwafaka wafanye investigative journalism juu ya swala la mwandishi mwenzao huyo,imani yangu ni kuwa sio kila POLISI ni adui wa umma,si vyema kujumuisha.Ebu waandishi wa TANZANIA wafike sehemu nao wabobee!!!ni matumaini yao watakaa kimya na si kupayuka na kisha wataingia mzigoni kupiga kazi nzito ya INVESTIGATIVE JOURNALISM kujua ni nani yuko nyuma ya hili.Kwa umoja wao wataweza wasisimame upande wa kulijaza jesshi hasira na kulifanya nalo lighafilike kujiona liko pekee yake na hakuna anaetambua mchango wao.

KAMA KWELI WANA UJUZI WA KUPATA HABARI NYETI,ZA UFISADI BASI WATUONYESHE KUWA WANAUJUZI WA KUJUA NANI YUKO NYUMA YA ISSUE NZIMA HIYO.Ila wasikurupuke kulitwisha Jeshi lawama za jumla nao ni binadamu tunapowasakama wote hawafai basi wanavunjika moyo na walio wabovu wanapata nafas ya kuongeza makovu ya ufa huo.

Ni kweli sio polisi wote wenye kufanya mabaya ninakubaliana na wewe ila kwa sasa imezidi,imekuwa ni kama kawaida au ndio utaratibu police kutumia risasi za moto ktk miili ya binaadamu hata ktk mazingira yasiofaa.Hivi wangemuua unafikiri wangesema nini?

Ni matukio mengi yameshatokea nchini kwetu ya police kuuwa raia bila sababu au mazingira yanayoruhusiwa kumdhibiti raia.Hivi unafikiri sisi tunapenda kuona ndugu zetu wakiuwawa kinyama na kutuachia majonzi pia tukakaa kimya kama wananchi?Ni bora na sisi tu-dill nao huku mtaani tunapoishi nao ili na wao wauonje walau ule uchungu tunaoupata pale police wanapotushindilia risasi ktl miili yetu.Ktk matukio yooote polisi walioua raia hakuna hatua kali walizochukuliwa sana wanalindwa tu utafikiri wao ndio binaadam sisi ni mafisi

Hatupendi kuyafanya haya lakini vitendo vya kinyama wanavyotufanyia polisi vinatufanya tulazimike kuyafanya haya sababu sisi ni binaadamu,tunao uvumilivu lakini pia tuna kipimo cha uvumilivu.Wajue sisi pia ni binaadam kutuua kwa kutupiga risasi kunaongeza chuki kati yetu na wao.
 
Huyo kapigwa risasi au mtoa mada unataka kuleta uzushi?
 
Naaam Ciril najua inauma sana pale hasa ndugu yako wa karibu abapokuwa muhanga wa tukio la kipigo cha POLISI watuhumiwa.Dhana yangu ni jinsi ya kudeal na hao wakosaji na sio kudeal na organization kwa ujumla wake!!!Wakati mwingine naamini kuwa yanapotokea haya kwa watu wenye sura kama ya taasisi ya wana habari basi,inatia chachu pia kwa waathrika kujiangalia kwa jicho jingine.

Duniani inajua kuwa kuna kitu kinaitwa Investigative Journalism [Habari za kipelelezi] na kwa kuwa Tanzania habari hizo hatuna basi kupitia matukio haya yanayotendwa na baadhi ya watendaji ndani ya polisi basi taasisi na jumuiya ya wana habari kwa umoja wao wavae combat ya kuhakikisha wanatafuta habari za kipepelezi na kuibuka na ripoti ambayo nakara zake watatoa kwa wahsuika ikiwemo ikulu, IGP, TISS na taasisi zingine muhimu ambazo wanaona zinaweza kuleta mabadiliko kutokana na kile walichovumbua kutokana na uchunguzi huo.

Kwenye hili wakwepe haiba inayoanza kujengeka sasa ya POLISI kuwaona wanahabari pia kama maadui,na wanahabari kuwaona polisi nao kama wauaji.Sio kuwa hatuwezi kupata suru uzuri wa taarifa itakayopatikana toka kwenye uchunguzi italeta mabadiliko ya kitaasisi na watu kupata haki zao kwa ujumla wake.

Tukisema kufuata hayo niliyobold na red, hakika kitu kinaitwa AMANI itakuwa ni historia,!!!!!
 
Huyu mwandishi alikuwa akifanya nini mpaka akapigwa risasi.tatizo la waandishi wetu ni limbukeni.panapokuwa na vurugu wao hukaa upande wa wanaofanya vurugu.hivi risasi ikipigwa ataachwa.haya ndio yaliyomkuta yule mwandishi iringa.na wengi wao wanashabikia vurugu.habu kuweni na utaratibu wa kukaa nyuma ya polisi ndipo ufanye coverage yako.ni waandishi wa bongo tuu ndio wanaopigwa risasi na polisi ukiona hivyo ujue tatizo si polisi bali ni waandishi wenyewe.
 
Siku hizi kuna amri ya shoot to kill questions later? yaani this is getting out of hand, kama huyu Amiri Jeshi wetu atashindwa kuchukua hatua na kama ana condone such actions things are bound to get even worse kuelekea 2015....................haya ni mambo yasiyokubalika kabisa na wala wasidhani jinsi yanavyotokea kwasababu hawaoni madhara kwao sababu ya ukimya wa wananchi wakatulia na kujiona wako in control, mambo kubadilika ni dakika chache tu hata kwa wale usiowadhania
IGP Mwema na wenzako nadhani muda umewadia kujihudhuru, this is too much
 
U cant dragg me out of point Ritz. Pole sana. What is politcs? Kwenye hiyo hoja yangu tena mistari miwili where is CHADEMA. Unashabikia polisi kuua, ndiyo maana unauliza maswali yenye mantiki zilizopinda. I dont care kama ni wafuasi wa chama chochote au hawana chama kabisa, lakini hatuwezi kukubali nchi hii muigeuze police state. Haya ni maisha ya watu, huu ni uhai. Come on. Mambo haya yanafanywa na yataendelea kufanywa kwa sababu polisi wamepewa amri vibarazani kufanya wanayoyafanya. Ndiyo maana wanaua wala hakuna anayewajibika au kuwajibishwa.

Kamanda acha uzushi polisi wanafanya kazi yao vizuri ya kulinda huwezi kutegemea kutokuwapo matukio machache kama hayo hawa sio polisi wa Vaitican hapa wanalinda usalama wa raia; matukio ya ujambazi ni mengi na wanapoingia kazini lazima waingie kwa nguvu zote; hivi na wewe kwa akili yako huyo jamaa kapigwa risasi au ndio kama kawaida yenu uzushi @ work
 
Wewe vipi mie nimefanyaje? Mijitu mingine bana...hii habari aijaeleza vizuri kisa hicho.

Haya bhana mimi ni JITU, ulichonishangaza Ritz ni pale taarifa imetoka muda huo huo nawe unademand tamko as if A. Senso alikuwepo
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi kuna amri ya shoot to kill questions later? yaani this is getting out of hand, kama huyu Amiri Jeshi wetu atashindwa kuchukua hatua na kama ana condone such actions things are bound to get even worse kuelekea 2015....................haya ni mambo yasiyokubalika kabisa na wala wasidhani jinsi yanavyotokea kwasababu hawaoni madhara kwao sababu ya ukimya wa wananchi wakatulia na kujiona wako in control, mambo kubadilika ni dakika chache tu hata kwa wale usiowadhania
IGP Mwema na wenzako nadhani muda umewadia kujihudhuru, this is too much

Vijana wanafanya kazi nzuri tu ya kulinda raia na mali zao; you must be very naive to suggest that police have the order to kill; whatever happened is an isolated case you can`t avoid them; our polices work under pressure; and do you believes that dude injury was caused by bullet? That`s a damn cr@p!!!
 
Hakuna cha bahati mbaya shida ya jeshi la poliCCM ni kuwa wanasiasa badala ya jeshi...shame on PoiliCCM
 
hii kitu mimi huwa inanitia hasira sana maana hawa polisi wamezidi kufyatua risasi kwa raia wake. cha ajabu jamii nzima si wandishi wa habari wala vyama vya siasa wamekuwa ni watu wa kutoa matamko kisha wananyamaza hakuna hatua yoyote inachukuliwa.

wandishi na wanasiasa wanachangia katika hili...... wangekuwa serious ukombozi ungekuwa umepatikana na polisi wangeacha kutumia nguvu
 
Tunahitaji msaada wa Mungu kutuondolea hizi roho za kiibilisi
 
Nina ushahidi .. polisi wengi wakipewa pombe au hela kidogo - wanaweza mvamia mtu usiku wakijidai wanamtafuta mhalifu na kumfanyia mtu unyama - JAMANI JIHADHARINI KUFUNGUA MLANGO USIKU AU GATE UNAPOGONGEWA NA WATU USIOWAJUA ................ HATA UONE UNIFORM DIRISHANI AU MLANGONI KWA KUCHUNGULIA ..... TAHADHARI DONT OPEN

Ila nauliza sasa Matibabu/matunzo hospitalini anapohudumiwa mwandishi ni nani anagharamia??? IGP mpe mke wa Mwandishi usafiri full time na dereva amhudumia mume wake ........... nunua na chakula, majuice na mazagazaga hadi apone na akitoka wawajibishe hao polisi waliofanya ujinga na unyama ............ :sad:
 
Haya bhana mimi ni JITU, ulichonishangaza Ritz ni pale taarifa imetoka muda huo huo nawe unademand tamko as if A. Senso alikuwepo

Umeniambia maneno mabaya sana kama vile mie nafurahia mauaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom