Polisi baada ya kumpiga risasi wakatoa tamko?
Ni upepo tuu utapita tuu kama wa mwangosi!
Hakuna kisichoeleweka hapo, unless wewe ndo huelewi..... In short, nyumba ile ina mama J wawili, mmoja mke wa mwandishi (Mwandishi ni shaban na ndo aliyepigwa risasi) na wa pili ndo mtuhumiwa. Polisi waliingia chumba cha mwandishi badala ya mtuhumiwa ambaye hakuwepo home kwake. Wakati wanaondoka kwenda hospitali wakakutana na mtuhumiwa njiani lakini hawakuwa na time naye...
Ni nyie waandishi hawa hawa mlikuwa mnamsifu mkw.le kwa kuwapa uhuru sasa yanawatokea puani. Mlipewa kwa mkono mmoja sasa mwanyang'anywa kwa mkono mwingine.
Uoga wa nini? Hii ni sawa na ile ya mabwepande tu. Ombeni sana.
Mkuu Ritz ni kweli habari ina matundu mengi!
Hapa nadhani kuna ajenda ya siri Elizabeth Dominic! Waandishi wa habari are NOT safe anymore!
...Usishangae kesho ukisikia walikuwa wanapambana naye kwa masaa mawili kwa kuwa alikuwa na silaha hatari etc etc. Yote kwa yote no excuses charminglady.
No body is safe. This is not an issue of somebody. Nchi inageuzwa pole pole, police state.
Wewe vipi mie nimefanyaje? Mijitu mingine bana...hii habari aijaeleza vizuri kisa hicho.
yaan... wanateseka sana waandishi wa habari. Nahisi washaanza kuijutia taaluma yao....
If journalists are Tanzanians, and journalists are not safe, then Tanzanians are not safe!.Hapa nadhani kuna ajenda ya siri Elizabeth Dominic! Waandishi wa habari are NOT safe anymore!
Yapi? Unaweza kuyaonesha? Usaidiwe kuyaziba.
yeye hakuwa na silaha au alienda kufungua mlango kizembe..
Kwa sababu ya watu kama Ritz!...wako wengi tu. CCM kama AIDS imewaathiri wengi...hasa wajinga wasio na uelewa wowote!Kwani Tahrir squire ilianzaje?, kama ni kweli nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu, kama wao waliweza, kwa nini sisi tushindwe?.Pasco!.