Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,049
- 773
Nimeuamia sana kuona polisi wanarudia kosa lile lile la kutumia risasi kama fimbo kwa raia wake.Issue hapa siyo kumjeruhi mwandishi bali raia yeyote yule kumpiga risasi eti kwa makosa,kwakweli watanzania inabidi tufikirie tena utendaji kazi wa viongozi wakuu wa polisi.Kuna haja ya baadhi yao kuwajibika.