Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

Hapa nadhani kuna ajenda ya siri Elizabeth Dominic! Waandishi wa habari are NOT safe anymore!

nyie si mlifurahia polisi kumua kijana wa zanzibar? Leo hii mnawaona polisi maadui kwa kumua mwandishi? Waacheni polisi wafanye kazi zao, acheni unafiki.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hii style inabidi kuwa mbali na wake za Polisi maana hawachelewi kukuua na kusema bahati mbaya. Labda risasi ilifyatuka wakati akiisafisha.
 
Sidhani kama polisi wanapewa mafunzo ya matumizi ya silaha zaidi ya kujifunza namna ya kufyatua! Hata kama huyo mfungua mlango ndio angekuwa mwizi, kulikuwa na haja gani ya kumpiga risasi? Si wangemkamata tu na kumweka chini ya ulinzi?
 
kisheria, scenario kama hiyo inakuwaje? Yaani Polisi wakijeruhi kwa 'bahati mbaya' na wakakiri kosa hilo, aliyejeruhiwa analindwaje kisheria?
 
abdull kazi mnaijua risasi nyie au mnaongea kufuraishana tu ,,, huwa haichubui ile inaingia na kutoka embu aonyeshwe mgongoni kama imetoka maana hapo lazima itokeze mgongoni na asingekuwa na hali hiyo.mnafuraisha jukwaaa nyieee
 
Last edited by a moderator:
Hao polisi ni mazezeta tu na wala hawastahili kuwa polisi kwa sababu hawajui nini ni kazi yao,wajibu wao sio kuua bali ni kumkamata muhalifu na kumbana ili ataje wengi ne ambao nao wanasumbua jamii na kingine kisheria hawaruhusiwi kuua mtu ambaye hapambani nao hilo ni kosa hata kama mtu huyo ni jambaz wanahitajika kumkamata tu,kuua ni pale mtu huyo atapoleta mapambano baina yake na polisi.Je mwandishi benar alikua anapambana nao?,Je hilo xio kosa kisheria?.Hawapo makini inabidi wachukuliwe hatua.
 
mnaijua risasi nyie au mnaongea kufuraishana tu ,,, huwa haichubui ile inaingia na kutoka embu aonyeshwe mgongoni kama imetoka maana hapo lazima itokeze mgongoni na asingekuwa na hali hiyo.mnafuraisha jukwaaa nyieee

Sio jukwaa ndo linafurahisha bali uwezo wa silaha walizo nazo polisi ndo unafurahisha
 
Hivi waandishi wa habari walisusia kuandika habari za police hii issue iliishia wapi? Au ilikua ni nguvu ya soda? Please the journalists must do s6ething.
 
EMT Ukisoma vizuri, kuna mama Jay wawili. Mama Jay (Mama Juma) ambaye ndiye mke wa Shabani na mama Jay (mama Juma) ambaye ndiye polisi wanadai walikua wanamtafuta ambaye kuna mwizi alikimbilia kwake, lakini baada ya tukio la risasi, issue ya mama Jay ikawa tena haina maana, mambo yalishaharibika na hata kama kweli mwizi alikimbilia huko baada ya risasi kulia, hawezi tena kuwapo eneo hilo, na ndio maana polisi hawakua tena na shida na mama Jay waliyekua wanaenda kwake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
mnaijua risasi nyie au mnaongea kufuraishana tu ,,, huwa haichubui ile inaingia na kutoka embu aonyeshwe mgongoni kama imetoka maana hapo lazima itokeze mgongoni na asingekuwa na hali hiyo.mnafuraisha jukwaaa nyieee

Inaonekana wewe nimiongoni mwa polis umetumwa jf kuangalia nakusawazisha upepo!Elewa waliomo humu sio wajinga!Unataka kutuambia mtu yeyote akipigwa risasi nilazima ifanye unavyotueleza eee?Kwataarifa yako inaweza ingia isoke upande wapili napia inaweza kabisa kuweka michubuko tu!Fikiri alafu post.
 
Unataka hicho kisa cha kutaka kumtoa roho mwandishi wa habari kielezewe vipi ili mfanye vyema karamu zenu kule Mabwepande?! Maana isingekuwa kujipindua, kama anavyodai yeye, risasi ingepiga chemba ya moyo. Nafikiri ungechekelea. Yana mwisho haya...Kuli.

Suala ili usitake kuligeuza kisiasa na kuwa mtaji kwa Chadema hakuna mtu anayeshabikia polisi kuuwa raia... Unataka kutuambia mama Jay na mama Juma pamoja ni wafuasi wa Chadema.
 
Mkuu Tumaini Makene wewe ni mwandishi wa habari. Je hii thread (post ya kwanza) inajitosheleza? Hata post yako pia haijitoshelezi. Habari haina muunganiko

Mbona huoneshi. Very simple task for a such great thinker like u Kimbunga, mkazi wa Ubungo. Onesha namna gani haijitoshelezi. Onesha muungano unaokosekana au vinginevyo kirinkuwa hujaelewa kitungani. Usaidiwe. Yaani ninachomaanisha ni kwamba jaribu kuwa specific utapata majibu ya maana. This is no like whole sale business kaka. Ure argument is toooooooooo general kuweza kujibiwa vizuri na kukusaidia kuelewa mwenzetu.
 
Last edited by a moderator:
This is really getting out of hand people,who is going to save this nation,I can't believe what am seeing,though we saw it coming but it is happening at a very high speed,Mungu isaidie Hii inchi jamani!
 
Dr. Ulimboka alipotekwa na kuteswa Usalama wa Taifa (SIC!) na baadaye Madaktari wenzake wakamuombea UN ulinzi kwasababu hawana tena IMANI na POLISI wa Tanzania, pamoja na UN kuwakatalia ombi lao, watu wengi waliona hiyo hatua ya Madaktari kama ya Kijinga.

Mwezi uliopita tuliambiwa kwamba Tanzania imepewa MASHARTI Mapya na EU ili ipewe MIKOPO katika bajeti ya 2013/14. Masharti hayo ni pamoja na ku-improve UTAWALA BORA na HAKI ZA BINADAMU. Incidence kama hizi za POLISI brutality ndizo zimeifanya EU iipatie Tanzania masharti mapya.

Hivyo kwakuwa tunafahamu serikali ya CCM inaogopa WAFADHILI kuliko raia wake (of Course because of ignorance) basi incidence kama hizi zilipotiwe kwa WAFADHILI ili watusaidie to end POLISI brutality maana sisi Watanzania wenyewe tumeshindwa kuiwajibisha serikali ya CCM ndiyo maana they are shooting and killing us with impunity.
 
Hii tasinia ya habari ina bifu na jeshi la Polisi. Inatakiwa IGP Mwema na Dr. Nchimbi waweke mambo
hadharani.
 
Back
Top Bottom