Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Wrong
kuna watu hawapendi tu kupiga simu
wako hivyo....mimi mmojawapo...
i hardly call anyone.....sms zaidi....nikipiga simu ujue ni 'work related'
You're right man, watu tupo tofauti sana... wakati wewe unaona sms kwako ni muafaka kwangu sizitaki kabisa, naona zinanipotezea muda kwa kile ninachoamini, ninapoanza kuandika sms then everything else should be left aside mpaka umalize na kama sms zenyewe ndo hizi za akina Swtbby za mapenzi, sms moja inazaa nyingine na nyingine na wakati huo wote unaacha kila kitu kwa ajili ya kusoma na kuandika sms! For a very known economical reason, theoretically hakuna mwenye kupiga simu siku mzima but sms, aaaaargh... ukiwaendekeza hawa akina swtybby, basi bora mpigiane simu muongee mumalize muendelee na mambo mengine!
 
Last edited by a moderator:
Na wewe kwa nini unamtafuta wakati wa kazi, kwa nini usimtafute muda wa jioni ambao unajua ametoka kazini. Mimi pia tabia kama hiyo yako ya kutaka kuwasiliana kila muda siipendi. Maana muda mwingine mtu umetingwa ukobusy kweli kweli unakuta mpenzi wako anataka mpige story. Jitahidi na wewe kuwa busy inawezekana huna kazi nyingi za kufanya kama yeye
 
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.

Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.

Naomba mnishauri jamani

Inategemea na aina ya kazi anayofanya kuna kazi zinazingua utafikiri bado upo chuoni unafanya mtihani kila siku ya kazi, au mipango anayofikiria yaani vision yake kwa baadaye, au ni mchepukaji. Lolote kati ya hayo hasa kazi zinamtinga wewe ndio unafahamu nature ya kazi yake. Watu wanaofanya kazi zisizoumiza sana kichwa kama wasukuma mikokoteni, wabeba ndwika, n.k. pamoja na kuuchosha mwili kwa kazi sauti tu ya demu kwenye simu hutosha kuusimamisha 'mhogo mkavu'na ukapiga kazi hata hata roundi sita non stop au "nda kwa nda"
 
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.

Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.

Naomba mnishauri jamani

wewe mapaka hapo ni easy target, au kama ni swala ni majeruhi so mapaka fisi anaweza jilia nyama. Cha kufanya ni kumwambia mpenzi wako ukweli. Ila ukiendelea hivi workmate akijua chaaap anajichukulia
 
Swtybb

Hata awe busy kiasi gani kama anakupenda atatengeneza muda kwaajili yako.Hakuna ubize unaouongelea kwenye mapenzi!

Hujawa busy bado, kuna kuwa busy huwezi ata kuwaza hayo.Acha kabisa!
 
Last edited by a moderator:
don't call him don't text him,don't reach out to him in anyway,a
maximum a month,asipokucheki bibie ts over pigia mstari,
maybe hakutafti cz ur too available ,be scarce law of demand n supply itafanya kazi n u will be happy,
me nilikua stressed cz msela hapigi hatext japo nikimchk anajibu,wala sikulalama sana,mana he sounded really busy,nikaanza no calls no texts unless aanze yeye,ts getting better n m no longer that mad at him,
nb get verryyyyyyy verrryyy busy wt ur life ,go out have fun,get involved na other activities in life inakupunguzia attention kwenye relationship,
bottomline don't be too available kimawasiliano,
rlship is two way
 
Thankx dia
 
Katika falsafa inaonesha kuwa umbali ni moja ya sababu ya kuvunjika kwa mapenzi fanya jitihada ili mmoja ahamishwe kituo cha kazi ili muwe pamoja, zaidi ya hapo hayo mapenzi yako hatarini kuvunjika
 
Pole mama, long distance ni shida, nlikua huko, ilichukua muda kutoka coz unajipa moyo mtu atabadilika kila ukiongea nae, ana admit then anarudi kule kule, ongea nae na ujue exactly nini anataka na pia umueleze unajisikiaje kutokupata hata salamu yake kwa siku nzima, majibu yake yanaweza kukusaidia kufanya maamuzi
 
Sms ni ugonjwa wangu wa kudumu naweza nikatumiwa sms asubuhi nikaja kujibu jioni baada ya kazi na huu utumwa wa whatsapp umenikosa kabisaaa ukituma uko lazima unipigie kuniambia,sina tatizo sana na kupiga au kupokea simu nimepona kwa sasa ila ukweli unabaki kuna watu ni ugonjwa wetu kabisa kutojihusisha na simu hasa kwa mambo nje ya kazi na iko hivyo mfano mimi naunganishwa na vifurushi vya airtel na ofisi vina expire kibwege tu.
 
Pole my dear long distance relationships are very stressful . Plus if there is no communications can get worse ... Just talk to him and make him understanding how are you feeling ... Don't be afraid He is your man / future hubby so split it out everything you have from your heart ... Tell him how you are feeling when communication is not active.. If He loves you , he will definitely understanding you and hear you out.. Pole sana .. Thanks..
 
dada yangu huyo hakupendi hata mm hua nawafanyia hvo wanawake nisiowapenda ninaempenda hata nikiwa busy kias gan napokea cm kwanza na kumjibu tutaongea badae au namjibu msg ntamtafta bdae nipo busy ni vitu automatic kwa unayempenda kwa hawa nisiowapenda nawajibu keshokutwa,jion,yaan pale napojiskia kutopokea cm ndo nafanya zaid hata kama sina kaz ya kufanya kwa sabab sina cha kuongea nao coz i neva care....that is the ugly truth dada yangu ila all in all usikate tamaa labda cku 1 atakuelewa
 
Hivi tanzania kuna mtu yuko busy kweli?

Ahhhaaaaaaa.... Nimekumbuka mbali... aahhaaa... My dear kwa udhoefu niliofanya kazi Tz not at all like abroad .. May be Private offices here but government not at all .... Some government offices you will definitely get so many chances to receive and make calls. . Thanks....
 
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.

Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.

Naomba mnishauri jamani

Wote wapo hivyo.

Tafuta mume muoane.

Huyo anakukinga na UKIMWI lakini hujielewi.

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom