Itabidi uongee nae mami mwambie ungependa muwasiliane walau once per day mfano ucku kabla kulala.Mawasiliano ni muhimu katika mahusiano,kama hakuna ujue hakuna mapenzi.Anaweza akanitxt kuwa atancheck badae hyo badae n hadi siku inapita
Kuna wanandoa wengi hawapigiani simu kabisa siku nzima
wanakutana jioni nyumbani
na ndoa ni imara tu...
Kuna wanandoa wengi hawapigiani simu kabisa siku nzima
wanakutana jioni nyumbani
na ndoa ni imara tu...
Itabidi uongee nae mami mwambie ungependa muwasiliane walau once per day mfano ucku kabla kulala.Mawasiliano ni muhimu katika mahusiano,kama hakuna ujue hakuna mapenzi.
Umesema wanakutana jioni still kuna mawasiliano coz they are together at the end wameanza siku pamoja na wamemaliza pamoja hata kama haawaongei in between lkn si sawa siku zinapita bila mawasiliano eti kisa ubize.Unataka kuniambia hali,hajisaidii,ni ubize tuuuu!
Hizo distance relationship zitawapa pressure. Kwani hapo ulipo hamna vidume?
Sawa The Boss,hata kama wapo hivo it doesnt make it right,na it sounds like wanandoa waloshibana with passion..naweza kusema pia ni choice ambayo wote wameridhia.Kwa upande wa bi dada hajaridhia na mahusiano ya limits hizo.Penzi changa linatakiwa lipaliliwe.Watu ambaao hata hawajaoana na mawasiliano ndo yanachecheta hivo sidhani ka hata watafikia lengo la ndoa.apo mke na mume...mume au mke kasafiri na wanakaa hata wiki bila mawasiliano
na still akirudi ni kama zamani......elewa tu kuna aina ya watu wako hivyo...
na sio kuwa hakupendi
Mawasiliano ndo nguzo muhim haswa long distance relationship bila mawasiliano hamfikii lengo me naona ni heri ukawa wazi kwake walau akupigie japo Mara moja
Ntafanya hvyo
Hahahaaaaa,vidume vipo ila nimempenda wa mbali
tatizo unamuonesha unampenda sana
HIVI WANAUME HUWAJUI
just fata ratiba yake
atakopopiga pokea
akituma msg jibu
akikaa kimya NA WEWE KAA mmekutana ukubwani kila mtu kalelewa kwao huko na tabia ni tofauti
so kama unampenda fata ratiba yake yeye
CHUKUA HILI WAZO LITAKUSAIDIA
Leo na me nimeamua kuuchuna akipata muda atanitafuta
Mapenzi ni two way traffic kwanini asubiri yeye tu atafutwe?aiseee kweli wanaume wapo tofauti!!
Khaa!! Bora umempumzisha leo. Wanaume wengi tunachukia simu unproductive wakati wa peak hours :glasses-nerdy:Leo na me nimeamua kuuchuna akipata muda atanitafuta