rosebud
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 243
- 97
Kama inashindikana baada ya kazi hapo ni shida. Labda jaribu kuacha wala usipige simu uone kama yeye atakukumbuka baada y a muda gani.
Kwa harakaharaka huyo brother ham-feel sana huyu dada,angeona kimya hata kwa masaa tu angetext km si kubeep.