John kasisa
New Member
- May 27, 2015
- 3
- 1
Piga nyento. Jipe raha mwenyewe isingoje kupewa
Dada unaumwa ugojwa wa kupenda sana
Unanitania au?Mawasiliano kwenye mahusiano ni tamthilia?mi sioni uromantic wowote anaotaka mleta uzi zaidi ya mawasiliano bora na mwenzi wake nina rafiki tu ambae yuko bizee kweli kweli lakini ananisabahi asubuhi na kunwish goodnight na ni rafiki tu itakuwa kwenye mahusiano.Usijitafutie excuses cause ur a lousy communicator.
Wrong
kuna watu hawapendi tu kupiga simu
wako hivyo....mimi mmojawapo...
i hardly call anyone.....sms zaidi....nikipiga simu ujue ni 'work related'
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.
Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.
Naomba mnishauri jamani
Wrong usiwe quick to judge
zipo kazi ni so stressful na usikute mtu anaingia alfajiri na kutoka usiku
na mda mwingi ana weka simu mbali...
na akishika simu kuna meengi tu ya kumsahaulisha...
Leo na me nimeamua kuuchuna akipata muda atanitafuta
Najua sio muda wote wa mapenz ila kuna tme huwa namtxt kumuulza ktu hajibu nkiona kmya sana huwa napga hapokei,najua yupo busy na kazi ila mtu c anakuta mcd call anatakiwa anitafute ila y anakaa kimya.Ila nachompendea ni mwepesi kujua kuwa amekosea,thankx kwa ushauri wako mpendwa
Swtybb
Hata awe busy kiasi gani kama anakupenda atatengeneza muda kwaajili yako.Hakuna ubize unaouongelea kwenye mapenzi!
Hiyo inawezekana kabisa. kuna mtu ofisini akiingia hata muda wa kunywa chai ni shida. vyema waongee wakubakubaliane muda mzuri wa kuongea kwa uhuru.
Yani naumiaje leo siku inapita hvhv
Piga nyento. Jipe raha mwenyewe isingoje kupewa
Hahahahahaha wewe ni dhambi mwambie ampate atakaye mpenda aolewe ndio wafanye jinsia mbili tofauti
Yaani hata usiku baada ya kazi huwa ni shida?
Acha 2,hapa natamani kumcheck lakn inaweza isipokelewe
fata=Fuata.Tatizo unamuonesha unampenda sana
HIVI WANAUME HUWAJUI
just fata ratiba yake
atakopopiga pokea
akituma msg jibu
akikaa kimya NA WEWE KAA mmekutana ukubwani kila mtu kalelewa kwao huko na tabia ni tofauti
so kama unampenda fata ratiba yake yeye
CHUKUA HILI WAZO LITAKUSAIDIA