MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Mpaka uambiwe hutakiwi? ebu usimpigie kwa wiki nzima uone yeye atapiga mara ngapi, na kama anaona gap yako, kama sivyo njoo wadau tupo na tunajua kupenda sana!!
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.
Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.
Naomba mnishauri jamani

I agree with u madame
Safi sana nimekupenda kwa ushauri huu, akiufuata atajua kama Huyo mtu anampenda au la.Tatizo unamuonesha unampenda sana
HIVI WANAUME HUWAJUI
just fata ratiba yake
atakopopiga pokea
akituma msg jibu
akikaa kimya NA WEWE KAA mmekutana ukubwani kila mtu kalelewa kwao huko na tabia ni tofauti
so kama unampenda fata ratiba yake yeye
CHUKUA HILI WAZO LITAKUSAIDIA
Love isn't blind, your thinking makes it so...!
There're so many vidumes in your neighborhood, why don't you fall for one?