Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Kama hiyo ndio kazi yake, SIMU, sms, hazijibiwi, hata mkikaa chumba kimoja haitafaa.
 
Ukituma text haijibiwi siku nzima au unataka dakika hiyo hiyo akujibu?
unapiga simu saa ngapi?
why usiwe unapiga simu time ambazo unajua yupo nyumbani na anajiandaa kulala?
kama unapiga simu office hours na yeye ni very busy person ni halki yake kutokupokea

Upo sahihi mkuu, watoto wana tabu sana, wao wanadhani muda wote ni wa kuchat tu. Mara nyingi junior officers ndo wanakuwa na muda mwingi wa kuchat na visingizio visivyo na maana.
 
You're right man, watu tupo tofauti sana... wakati wewe unaona sms kwako ni muafaka kwangu sizitaki kabisa, naona zinanipotezea muda kwa kile ninachoamini, ninapoanza kuandika sms then everything else should be left aside mpaka umalize na kama sms zenyewe ndo hizi za akina Swtbby za mapenzi, sms moja inazaa nyingine na nyingine na wakati huo wote unaacha kila kitu kwa ajili ya kusoma na kuandika sms! For a very known economical reason, theoretically hakuna mwenye kupiga simu siku mzima but sms, aaaaargh... ukiwaendekeza hawa akina swtybby, basi bora mpigiane simu muongee mumalize muendelee na mambo mengine!

Nipo kama wewe. Sms zinapoteza muda na zinazua maswali yasiyo na tija.hazina maana kama unaweza kupiga kwann usipige na kumalizana hapo hapo then kazi ziendele.
 
Last edited by a moderator:
Kusomana gani wakati me ananiumiza 2

Amin n kwamba hakupend,mi ninachojua mapenz yana nafas kubwa na ni chachu ya maisha mengne kuendelea.hatakama yuko buzy kama anakupenda lazma angeweka utaratibu wa kuwasiliana na ww axubuh na jion angalau.pia nakushaur tengeneza utaratbu wa kuwasaliana nae uckurupke jkeep buzy ukifka muda uliopanga(ambao angalau anakuwa free) wasiliana nae.
 
Ntajuaje muda ambao yupo free wakati hata nkmpigia hapokei?Me pia sio mtu wa msg kwa sana ndiomana tme nyingine huwa naamua kupiga ili tumalizane hapohapo
 
Upo sahihi mkuu, watoto wana tabu sana, wao wanadhani muda wote ni wa kuchat tu. Mara nyingi junior officers ndo wanakuwa na muda mwingi wa kuchat na visingizio visivyo na maana.

Me sio mtu wa kuchart sana kwanza mtu akinitumia msg ndefu huwa naamua kumuendea hewani
 
Mmmm, tafakari kwanza siku ya kwanza mlipoonana ilikuwaje
 
mi mwenyewe niko hivo, nikiwa busy kwenye kazi zangu natamani hata kuzima simu maana simu hua sijibu zinanipotezea concentration, lakini that doesn't mean siko faithful wala kua i dont care! muda wa mapenzi ukifika bac ni mapenzi..

Wapo wadada wengine watataka muwasiliane kila muda, mchat mchana kutwa utasema hakuna mambo mengine ya kufanya!
 
Wrong usiwe quick to judge
zipo kazi ni so stressful na usikute mtu anaingia alfajiri na kutoka usiku
na mda mwingi ana weka simu mbali...
na akishika simu kuna meengi tu ya kumsahaulisha...

sizan kama unaweza kushit xmx au missed call ya someone special kama mke au mchumba.
 
mi mwenyewe niko hivo, nikiwa busy kwenye kazi zangu natamani hata kuzima simu maana simu hua sijibu zinanipotezea concentration, lakini that doesn't mean siko faithful wala kua i dont care! muda wa mapenzi ukifika bac ni mapenzi..

Wapo wadada wengine watataka muwasiliane kila muda, mchat mchana kutwa utasema hakuna mambo mengine ya kufanya!

Hata wanaume wapo sio wadada peke yao.Nlshamah kuwa na mtu wa hvyo yan atataka akue umevaa nin cku hyo,tme ya misoc yote lazma akuulze umekula nin ukchelewa kujibu anapiga simu,uktoka night ukirudi nyumban atataka umpigie ili ajue kama umerudi.Yan hata wakaka wapo na huwa inakera ila kwa huyu wa sasahv niliyenaye amezidisha jaman kha!
 
Jaman yaan hvo mwenzio ndo napenda sasa tena hapo ndo naona nimependwa.
 
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.

Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.

Naomba mnishauri jamani

Rafiki embu jiondoe kwenye huo utumwa haraka kabla hujawa kichaa. Mim wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka nikaw nakosa raha, eeh kama binadamu nikachoka na mm nikawa simtafuti siku hizi yey ndo ananipigia cmu na haishi kuniuliza nimepatw na tatz gn mbna cmtafut ten kam zaman.Mrembo kama hutaki kufa kabla ya wakati bc fanya dawa ya moto kuwa moto.
 
Back
Top Bottom