Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,939
- 67,457
Mazoeando unambie chitaki au atanteee kweli
Mazoeando unambie chitaki au atanteee kweli
Leo tu ninashinda jf ila naingiza milioni 5 za kitanzania 😅 unajua mnatuchukulia poa sana bwashee.?🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/YyOcsqYy-KY?si=alQZVD0-Almlmyvs
kwamba alikotoka alizoeshwa ivo,,basi arudi mbiooooo ndoman tunajitakia walima viazi sieMazoea
Wewe unaongeongea unafki ila kwetu pesa ipo hakuna falaDah ninyi mnamapesa uki linganisha na babu yako huna shida wakishua
Una kwama sasa hapo why wchimba biazkwamba alikotoka alizoeshwa ivo,,basi arudi mbiooooo ndoman tunajitakia walima viazi sie
Limeni matajiri tuna nunuakwamba alikotoka alizoeshwa ivo,,basi arudi mbiooooo ndoman tunajitakia walima viazi sie
Dah sasa unafiki upi kwani hayo si umesema mwenyewe mkuu au nimetunga?Wewe unaongeongea unafki ila kwetu pesa ipo hakuna fala
MUDA SI MREFU ANAENDA KUPOTEZA CLEANSHEET.Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish?
Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
View attachment 3395277
Pombe , wewe nilichukulie nimekula vyombo tu bwashee ila nawachana madogo tafuteni pesaDah sasa unafiki upi kwani hayo si umesema mwenyewe mkuu au nimetunga?
Pombe , wewe nilichukulie nimekula vyombo tu bwashee ila nawachana madogo tafuteni pesa
View: https://youtu.be/tbp-cN4FYIo?si=VTDNHJTokYs9ty_-
Watu wasio na shughuli ambao maisha yao yamewashinda wana dalili nyingi sana.Ila wanaume tuna misimamo yetu...Kuna mwengine atasema haturuhusiwi kutumia emoji mwengine haturuhusiwi kula chipsi daah
Ila yote kwa yote Sheria zisivunjwe tuendelee kukaza
Sure bro , mfano mimi nimeamua nile bata mwanzo mwisho 24hrs watu wanapata sukari, imekaaje hii?Watu wasio na shughuli ambao maisha yao yamewashinda wana dalili nyingi sana.
We mtu kajiposti kwa bando lake, birthday yake, raha zake, tatizo liko wapi?
Waachieni watu waishi wanavyotaka, hata haya mambo ya nani mwanamme nani mwanamke siku hizi huwezi kujua mpaka umpime mtu.
So what mtu kajipost birthday yake?
Mtu mwingine anaweza kusema wanaume wanaomfuatilia mbona wambea hivyo?