Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

Hiki kizazi chetu cha Amapiano kimekuwa cha kifala sana, out of mada: dem anamkataa mwana, mwana anaenda kujiliza.
 
Complications kuhusu wanaume zinakera sasa, ukiuliza eti ni njia ya kupinga ushoga, mbona ushoga hauhusiani na hivyo vitu. Unabaki kuchoka, Lol
😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom