Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,759
- 152,674
Tumezoea maisha ya kijima ya kupangiana jinsi ya kuishi.Sure bro , mfano mimi nimeamua nile bata mwanzo mwisho 24hrs watu wanapata sukari, imekaaje hii?
Ujinga mtupu.
Tumezoea maisha ya kijima ya kupangiana jinsi ya kuishi.Sure bro , mfano mimi nimeamua nile bata mwanzo mwisho 24hrs watu wanapata sukari, imekaaje hii?
Now nataka niwape sukari tu wajinga hawa ,natenga mda napesa nipotezee kwa hili mkuuTumezoea maisha ya kijima ya kupangiana jinsi ya kuishi.
Ujinga mtupu.
Haha wewe uliyeandika imekusugua?Mkuu naona mada imekugusa sana 😁
Mwanamke ambae nmetokea kuwa na true love nae humu ni ephen_ Sijui why
View: https://youtu.be/VTbo8E8es9A?si=pk7GGnHjXCx68jol
😂 hahaMzee kumbe una mipasho
Hahaha kumbe tuko wengi tunaoshangaa hili jambo. Mimi birthday yangu huwa nashtukia tu watu wakiniwish mwenyewe nikiwa sina hata habari😀😀Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish?
Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
View attachment 3395277
Hawana time na mishe za kubembelezana ka mitoto,mda mwingi kazi yaani mda maalumu mnakutana na kuwasiliana kawaida yaaniUna kwama sasa hapo why wchimba biaz
tunawaheshimu sana watu ka nyie huku kusiniLimeni matajiri tuna nunua
🙌🙌Hawana time na mishe za kubembelezana ka mitoto,mda mwingi kazi yaani mda maalumu mnakutana na kuwasiliana kawaida yaani
Salute
Wanakimbizana na wakatiJuzi nilikuwa Dar, pale uswazi walichukua Bar nzima eti kuna jamaa ana birthday party. Jamaa wa Dar mna mambo ya kike sana