Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 903
- 1,495
Tafuta hela maskini ww, acha chuki sheh kila mtu anafanya kimpendezacho.
Pesa ya kunywea si nayo sheh maskini kam ww mnaona kila kitu haram.Juzi nilikuwa Dar, pale uswazi walichukua Bar nzima eti kuna jamaa ana birthday party. Jamaa wa Dar mna mambo ya kike sana
Sasa ndio useme happy birthday to me na ukate cake?🙄Tafuta hela maskini ww, acha chuki sheh kila mtu anafanya kimpendezacho.
50/50Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish?
Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
View attachment 3395277
Tuna wakati mfupi sana duniani hivyo tunafurahia kila moment ambayo inatuletea furaha. Ikiwa unaona si vyema basi andika pia kuhusiana na kumbukizi za vifo,uhuru,vita,ushujaa,mauaji na hata matukio mengine muhimu kwenye historia ya mwanadamu.Tayari huku mwengine
Ndo useme happy birthday to me?Tuna wakati mfupi sana duniani hivyo tunafurahia kila moment ambayo inatuletea furaha. Ikiwa unaona si vyema basi andika pia kuhusiana na kumbukizi za vifo,uhuru,vita,ushujaa,mauaji na hata matukio mengine muhimu kwenye historia ya mwanadamu.
Kwa wanaofanya naona ni sahihi kwao ikiwa hakuna mtu atakaekumbuka hadi atakapo "jiposti"Ndo useme happy birthday to me?
Hata na wewe huja andika kiume kabisaJanaume lingine unakuta limeandika "khaaah!'