Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

Tangu nianze kujitambua mwaka huu mwezi June ndio nimejiposti....tena niliandika "Happy birthday Pacha wangu" nilishindwa kabisa kuandika "to me"...
Wengi walifikiri nina pacha wangu!
 
Haya mambo ya happybirth day niliyakutaga chuo tu sikuwahi kuyasikia 😁
Na ndevu zangu hizi kuambiana happybirth day nikushushiana heshima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom