Hakuna mwanamke mwenye haki ya kutafuta mwanaume, Dini na utandawazi umewaharibu vibaya sana

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu na yasema haya kwasababu wanawake wasasa wanajikuta na wao wanahaki na wajibu wa kutafuta mwanaume jambo ambalo siyo la kweli kabisa na hazikuwa tamaduni zetu na kupelekea wanawake wengi kuwa wadangaji tuu.

Utandawazi na elimu za dini za kuletewa ulikuja kuvuruga mila, tamaduni, desturi na kanuni zetu za kijamii makabila kwa makabila kwa aina zake ,na pia ulikuja kutukorofisha baina ya wanaume na wanawake kwa kutugawanya na kutuondolea upendo, uwajibikaji, mgawanyo wa majukumu, heshima na uti, utawala na uongozi wa kweli katika kaya zetu ambapo tulikua tukijipatia wake bora na hata wanawake mabikra kweli kweli waliotunzwa na kufunzwa wakafunzika kupitia unyago na wanaume kupitia jando.

Mbali na hapo mashuleni kulikua na masomo kama ya sayansi kilimo (sayansi kimu) , na somo la maarifa ya nyumbani , na lile somo la stadi za maisha yote haya yalikua yanakazia uwajibikaji na mgawanyo wa majukumu baina ya mwanamke na mwanaume, huku mwanamke akijifunza majukumu ya kike na mwanaume majukumu ya kiume , na mbali na hapo somo la stadi za maisha lilikua kinafundisha hata maisha halisi ya ndoa hasa hasa mkisha pevuka walimu wanachambua kwa umri mnaenda kujifunza huko siku za jumamosi

Utandawazi na elimu za dini kadiri zilivyo enea zikivuruga haya yote na kutuharibia wanawake na mabinti zetu kabisa

Kama wanaume tokea zamani enzi na enzi hali kadhalika, kama tujuavyo pia mwanamke hana mamlaka na utawala dhidi ya mwanaume hivyo hivyo pia hana jukumu ,haki na wajibu , sifa na hadhi za kutafuta mwanaume wa kuwa naye

Jukumu letu wanaume ni kuwajibika na moja ya kuwajibika ni kuwafata wanawake na kuwatongoza, pia ikumbukwe tunapozitafuta hela na chakula kwa jasho hali kadhalika tunatafuta na mwanamke wakuja kutusaidia kula hela zetu na chakula chetu kwa mgongo wa ndoa, uchumba sugu, uzazi mweza, au mahusiano ya kimapenzi au mahusiano ya faida ya nipe nikupe baina ya mwanamke na mwanaume kwa namna zake ambapo asilimia 85 yanapelekea kuitwa baba na mama kwa kua na watoto kati yetu

Utandawazi na elimu za dini zilipoona wanaume tukiwafata wanawake muundo wa kimaisha , muundo wa malezi ya watoto, usimamizi na udhibiti wa tabia mbaya zinazoweza wakumba wanawake upo sawa pamoja na muundo wa dunia unakua sawa sawa vile vile, wanawake wanajitunza na wanakua wake bora , basi Ibilisi adui muovu akaona sasa acha niwaletee utandawazi ma elimu za dini ili kutuvurugia kwa kueneza usawa na haki kwamba mwanamke naye ana majukumu na anapaswa na yeye kutafuta mwanaume amtakae, pamoja na kumueleza mwanamke kuwa yeye na mwanaume ni sawa na wote wanahaki sawa jambo ambalo sio kweli kabisa ndugu zangu na wanawake msikie

Utandawazi na dini umemuharibu sana mwanamke badala ya mwanamke kujitengenezea mazingira mazuri ya kua mke mwema huku akisimama katika sifa zake za asili za kike ili wanaume tuvutiwe nae na tumfate kumtongoza au tutume wazee wetu wakutane na wazee wake wa boma kwa lengo la kumposa na hata kumuoa , huu utandawazi na elimu za kidini zimemwaribu na kumfunza mwanamke kuwa ule ni mfumo dume, ukoloni , unyanyasaji wa kijinsia na hata ni ukatili dhidi yao jambo ambalo siyo la kweli kabisa ukiwa na lengo la kutuvuruga tuu wanaume na wanawake ili watunyonye na watufubaze kiakili zaidi na zaidi

huu huu utandawazi na dini za wazungu umewafunza wanawake na mabinti zetu na wao kutafuta wanaume wa ndoto zao jambo ambalo limewageuza wanawake wengi kuwa wadangaji, malaya wa chini chini, dada poa , wake zetu kuona walikosea kuolewa , single maza na hata wengine kutoolewa kabisa au kuzalishwa kutokana na kuwaselective sana kwa wanaume hali iliyopelekea wapoteze sifa za kike za asili

Pia utandawazi na elimu za dini za wazungu kumefanya mwanamke azidishe tamaa mbaya ya vitu vizuri kwa kumjengea nafasi ya yeye kuchagua wanaume, leo anakua na huyu wa chini kiuchumi, kesho anapata wakatikati na baadae anapata wajuu kiuchumi kazi yake ni kudhurura na wanaume tofauti tofauti kwenye mahusiano kwa kubadilishabadilisha kwasababu anajiona anahaki ya kuchagua na kupata kilicho bora kwake jambo ambalo siyo sahihi na siyo kweli kabisa

Wanawake achaneni na huu utandawazi na elimu za dini, huu ni upigaji na lengo ni kuwavuruga nyie tuwaone wabaya ili tusiwaoe mbaki kuwa wazururaji wa mahusiano , wanawake wenzenu wajanja wanalijua hili wameamua kubadilika na teyari wamesha olewa

wanaume tukiwaambia ukweli wanawake mnasema tunawaonea sasa puuzeni na hili mbaki kuwa single maza na madanga ya mjini huku mkisema hakuna waoaji

Jitunze usichana wako, tutengenezee mazingira na tulia tukufate tutakuoa acha kudangishwa na utandawazi na hizi dini za wazungu
 
Hizi dini za kuletewa ni laana kwetu Waafrika, hazina umuhimu wowote kwetu na wala haziendani na tamaduni zetu. Unapojiita Muislam au Mkristu na kufuata mila, imani, na tamaduni za hawa mashetani lazima utalaanika tu kama ilivyo kwetu Waafrika.
 
Back
Top Bottom