Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Akaaaa babu weee, K bila matunzo si itafubaaaa! Shurti mgegedaji awe anairepea mara kwa mara!
hili ndilo la muhimu ,na hata mtu mwenye kipato cha wastani tu anaweza kulitimiza hili ilimradi awe mwanaume halisi anayetambua mipaka yake na wajibu wake kwa ujumla..........mengine ya ujentlomeni ,gud guy vs bad guy , naught boy vs romantic boy , pesa vs no pesa ni mambo ya nyongeza tu......... fedha haimtulizi mwanamke bali ugegedaji wako ukiwa wa kipekee kuelekea upande chanya ,ndiyo msingi mzima wa furaha na raha zote.
try one minute guy for 1 year ,hlf ndiyo utanielewa what am talking about hapa.
 
Umeona ee,,wadada ya mujini bana mnataka maisha ya pepon wakati kuyatafuta wenyewe hamuezi,,mfume dume mpaka lini,,tokeni mjitafutie msisubiri vya kupewa mnaona vyaelea hamjui vimeundwaje udenda unawatoka tu,,

Mambo makubwa yanahitaji Roho Ngumu tena ya Paka!!!!!!!!!!!! Hivi wewe mtu umeajiriwa sirikalini, ujibaneee hadi lini upate ka VITZ tu, tena hapo mafuta lazima yakutoe kamasi!

Kisa na mkasaaaaaaaa!!!!!! Unatafuta tu mwenye rav 4 zake 3 unamganda kama luba anakuge moja! Problem solved!!!!! Mafuta juu yake, wewe full kiyoyozi!
 
Hahahahah kumbe ulikuwa unanistalk eeeh napunguza usumbufu na kero za PM so nawaweka wazi wajue kabisa kama ni walalahoi wanipitie kushoto! Mwanaume pesa ndevu urembo hawawezi nigegeda kwani sivui pichu hovyo hovyo!!
kalio unalo lakin isije ikawa we ndo kile kituko cha blinddate
 
hili ndilo la muhimu ,na hata mtu mwenye kipato cha wastani tu anaweza kulitimiza hili ilimradi awe mwanaume halisi anayetambua mipaka yake na wajibu wake kwa ujumla..........mengine ya ujentlomeni ,gud guy vs bad guy , naught boy vs romantic boy , pesa vs no pesa ni mambo ya nyongeza tu......... fedha haimtulizi mwanamke bali ugegedaji wako ukiwa wa kipekee kuelekea upande chanya ,ndiyo msingi mzima wa furaha na raha zote.
try one minute guy for 1 year ,hlf ndiyo utanielewa what am talking about hapa.

Acha mashauziiii kijana, Aliekuambia wenye pesa hawagegedi vizuri nani? Wengine watoto wa kitaa tu ila wametoka kimaisha so skills za ugegedaji kama kawaida!

Wengine pesa hamna na rigwaride pia holaaaaaaa!
 
Anhaaa pesa silaha kisu mzigo bana,m/ume mwenye pesa anakujengea heshima yani maisha yanakua ya uhakika sio kubahatisha,ila tatizo lao hawajatulia ukubali kua kwenye foleni..

sawa lakini si wanaume wote wastaraabu wanawake wengi wananyanyasika kwenye mahusiano na ndoa kwa sababu ya kuangalia pesa mbele
 
Hahahah mkuu chil bana mbona umereact hivo? Tafuta pesa bibie aenjoy
kumbe unatambua kwamba pesa mnaweza tafuta wote sio! aya inakuaje unatolea macho pesa za mwenzako kama vile wewe ni disabled? btw, loser kwako ni mtu gani? naweze leo nikawa loser kesho tycoon!
 
Hahahah na ndomana nikakwambia punguza kukaa skani
Inaonekana una tatizo la kufikiri,nilipokuambia hamna kitu nilimaanisha jogoo hawiki.Tatizo unawaza kitoto,ukikua utajua maisha sio pesa tu!
 
Ndio mkuu Jiwe Linaloishi.
Maana mijitu mingine ina mahipsi ya tumbo lakini inavyojisikia ikipita rodini.
Mfano Ciello, lara 1 na nivea.

Hahahaaaaaaaaaaa!!!!!!! Umemsahau Prezidaaa wa wachunaji Natalia toto la kifisadiii!!!!!!

Mie kweli shape sina wala sura sinaa ILA NAJIAMINIAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Mzuri wa ukweli sijisifiiiiiiii! Nangoja nisifiwe atiii!
 
Acha mashauziiii kijana, Aliekuambia wenye pesa hawagegedi vizuri nani? Wengine watoto wa kitaa tu ila wametoka kimaisha so skills za ugegedaji kama kawaida!

Wengine pesa hamna na rigwaride pia holaaaaaaa!
kugegedwa ndiyo kila kitu kwenu ,sasa ukimkuta ana pesa na anagegeda its good but mimi sijasema wenye pesa hawajui kugegeda ......pointi yangu ni kuwa katika priority ugegedwaji ndiyo 1st priority then ndiyo hizo zingine zifuate.
usipogegedwa utaishi kwa furaha wewe?
 
lara 1 na Ciello ,wasomeni hao wenzenu labda mnaweza mkapata upande mwingine wa shillingi ....lol!
bofyeni hapa........https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...anisho-wa-maswali-na-majibu-waliyoulizwa.html

Hakuna cha kusoma wala kusikilizaaa! Huu ni urithi wa bibi zetu, we toka lini maza ako akajipa pressure na kufagia mbolea ya kuku au ngombe! Mwanamke yake Hina na kibarazaaa!!!!!!!!!! Mikono lainiiii kwaajili ya kupapasa na massage!!!!!!!!

Mwanamke ukimpigisha shurba anafubaa acheni masikhara!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom