Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

hahaha,, haki yenu mtaipata tu. na nyie jifunzeni kutafuta
 
Haya ni mawazo hatari sana kuwemo kichwani mwa binadamu achilia mbali Mwanamke, tuanze kuchange mindset zetu kwanza.

Labda utueleze na wale wanaoachana na Waume zao wakati nyumbani kuna kila kitu sijui unasemaje hapo!!

Hao wameshiba na wanawapokezea kijiti wenzao wenye njaa. Ndo maana akiondoka tu mwenzie hakawii kuingia!
 
Hahahah tujifunze kutafuta ili iweje? Cyo role yetu hyo mwanaume wa kweli anaplay role yake na cyo kulialia, mwanamke hakuletwa duniani kuvuja jasho wala kula kwa uchungu wanaofahamu majukumu yao wametulia wanapambana kuzichanga na kuyatimiza wavulana ndo wapiga kelele
hahaha,, haki yenu mtaipata tu. na nyie jifunzeni kutafuta
 
Hahahah tujifunze kutafuta ili iweje? Cyo role yetu hyo mwanaume wa kweli anaplay role yake na cyo kulialia, mwanamke hakuletwa duniani kuvuja jasho wala kula kwa uchungu wanaofahamu majukumu yao wametulia wanapambana kuzichanga na kuyatimiza wavulana ndo wapiga kelele

nashukuru nimezaliwa mwanamke lol
 
lara 1 ,wakubwa wanasema usishike kitu kwa mkono wa kushoto maana waweza kuhisi umekipoteza!
"
Kama hujanie lewa niambie nikueleweshe!

Kuuliza si ujinga, nieleweshe mwenzio
 
Ivi inakuaje mdogo wangu' unakua na girlfriend zaidi mwaka una muhudumia kila kitu anacho taka' alafu hataki kukupa gemu, anawapa wengine

wots ur definition ya galfrend, kugegeda tu ? usijisumbue if this is wot u min, ukiwa na njaa pick n carry
 
Ulimhudumia gf ili akupe game? Ka uko hivo wale wa kona bar na kimboka watakufaa zaidi!
Ivi inakuaje mdogo wangu' unakua na girlfriend zaidi mwaka una muhudumia kila kitu anacho taka' alafu hataki kukupa gemu, anawapa wengine
 
Kuuliza si ujinga, nieleweshe mwenzio

Ninamaanisha kwamba,unaweza kuanza kuitafuta furaha kwenye pesa kumbe unayo.
Hivi unajua furaha ipo kabla ya pesa kuwepo?
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!

5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!


8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?
Pesa mbwembwe tu wewe ,mambo yote mchomeo wa ukweli na maana a.k.a kugegedwa vizuri mwanamke bado hujamtuliza........ chezea kugegendwa wewe...................
 
Hii thread imezua tatizo lingine kwa wanawake,lakini wanaweza wao wasilijue hili.
"
Wanawake wanataka haki sawa na mwanaume huku wakidai wote ni sawa.
"
Kama wanadhani wanayaweza yote,kwanini wanataka mwanaume mwenye pesa?
"
Ni kitu gani wanakihofia ambacho wanadhani mwanaume asiekua na hela hawezi kukifanya?
"
Kama ni mahitaji,wao si wanaweza?
"
Kwanini wasimuone mwanaume asiekua na hela kama binadamu tu,tena anaestahili kuheshimiwa na kupendwa pia?
"
Mwanaume anaweza kwenda kijijini kuoa,ni kwanini hakuna mwanamke mwenye mafanikio ambae hajaenda kutafuta mume kijijini?
"
Inaonekana kuna tatizo mahali!
 
Walalahoi utawajua tu wanapenda kulalamika ktk kila jambo tafuten hela achen longolongo

kumbe na wewe ciello ni walewale tu, nimekua nikukuona hapa jf tokea ulipojiunga kumbe ulikua unapretend tu. mtaliwa sana mjini hapa.. Mkishakua mtumba ndio mtatia akili.
 
Hahahahah kumbe ulikuwa unanistalk eeeh napunguza usumbufu na kero za PM so nawaweka wazi wajue kabisa kama ni walalahoi wanipitie kushoto! Mwanaume pesa ndevu urembo hawawezi nigegeda kwani sivui pichu hovyo hovyo!!
kumbe na wewe ciello ni walewale tu, nimekua nikukuona hapa jf tokea ulipojiunga kumbe ulikua unapretend tu. mtaliwa sana mjini hapa.. ukishakua mtumba ndio mtatia akili.
 
Back
Top Bottom