wagaba
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,106
- 605
Lakini pamoja na kupenda wenye fuba la uhakika, pia uwe na moyo mgumu wa kuzuia yatokanayo na kumiliki pedeshee. Kuna mdada moja hapo mkoa wa Manyara alikula bata sana ikiwa ni pamoja na kununuliwa nyumba na usafiri wa uhakika, matokeo yake alikunywa sumu baada ya kugundulika wadudu wametia team ktk damu yake. Mtoto alikuwa amesimamia kucha balaa. Alitumia uzuri wake vizuri. Lakini Mungu alimpenda zaidi.