Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Ifike mahala wanaume tuoneane huruma, mwanaume mwenzako anatoa posa, anatoa mahari anaoa mwanamke. Anamvesha anamlisha anamgharimia kila kitu kwa moyo wake wote unakuta mwanaume mwingine anayejua kuwa huyu ni mke wa mtu anakuwa naye kwenye uhusiano.

Wapo wanawake wadhaifu wakitongozwa kukataa hawawezi ndo hilka ya baadhi ya wanawake lakini wanaume tukiwa na roho ya huruma kwa wanaume wenzetu tunaweza komesha ufuska na tabia hii chafu.

Wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi sana hao hawana kipingamiza wala hutolaumiwa na yeyote. Wapo wanawake wengi wanajiuza inakuwaje uparamie mke wa mwanaume mwenzako.

Wanaume tukiamua kujitetea na kukomesha tabia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wanawake maana hawatasumbuliwa pia wataepukana na vishawishi. USITONGOZE WALA KUWA NA UHUSIANO NA MKE WA MWANAUME MWENZAKO. WANAUME TUPENDANE TUONEANE HURUMA.
Kweli mkuu inauma sna
 
Hahah unanikumbusha former boss wetu alitembea na mfagizi kumbe alikuwa na kasoro nyingi, mfagizi akamtangaza ofisi nzima mpk habari zikamfikia mkewe hahha mke alicheka tu akasema yeye kamvumilia mwenyewe kajiona kidume acha aaibike. Aibu ilivyozidi mbona aliacha kazi. Mambo mengine ni heri kutulia tu kama uanaume hata mbwa anao. Ni kujitia aibu tu mtaani wakt si lolote wala chochote.


ahahhha huu uzi hauna uhai sana i bet ! unaenda slooooooooooooowwwwwwwwwwwwwwwww
 
Mwanamke aamue tu kutuliaa na wew ofcoz...!! Yanii unwezaa msugua vilivyoo mpaka akachechemea... ukampa pesaa ilaa kesho unakuta yupoo na kijamaa hukoo.. wengine wana pepo la ngonoo ukimpata huyoo kazi.unayoo
 
Nyie mnaowafanya wanawake km watoto wadogo,hawajitambui mi huwa siwaelewi kabisaaa! na ukiona mwanamke anachepuka ujue keshakuona we bwege
 
Mwanamke aamue tu kutuliaa na wew ofcoz...!! Yanii unwezaa msugua vilivyoo mpaka akachechemea... ukampa pesaa ilaa kesho unakuta yupoo na kijamaa hukoo.. wengine wana pepo la ngonoo ukimpata huyoo kazi.unayoo


umeongea kweli wengine wanapewa kila kitula kini bado hawatulii sasa hapo huna namna! kuna wengine sasa DAH! hata hana tym ajue mkewe bado vyupi alivyomnunulia kwenye sendoff ,yaan yupo tu hajali kitu mrad anamuona mkewe anakula basi ! hawa acha wagongewe hakuna namna
 
Pole sana mkuu

Kwa uzi huu, naamini sana mkeo kagongwa tena itakua na rafiki yako wa Karibu na ukagundua ukaamua kupandisha uzi
 
Tatizo si wanaume ila ni udhaifu wa wanawake kwasababu hawalazimishwi. Hata ukienda mahakamani bado hakimu atakuhoji kama mkeo alilazimishwa. Cha muhimu wote mkishaingia kwenye ndoa basi mvumiliane kwani mlichaguana wenyewe.
Very poor argument...
 
Tatzo hii tabia ipo ata kabla ya Yesu kuja duniani, cjui kama tutaitokomeza kirahisi
 
Pia huu umagufool ulioendea mtaan ndo unasababisha haya yatokee wakat mwingine
 
K
Pole, utafanyaje sasa na ndio ishatokea. Kubaliana na uhalisia songa mbele.
Kuna mambo tunapaswa kuyaisha kama kufiwa hakuna suluhu zaidi ya kuzika na kuendelea na maisha. Upo sahihi
 
Back
Top Bottom