Labda utabadilika mkuu na tabia yako. [emoji20]Haifai kumtafunia Mwanamume Mwenzako mke wake, Nakushukuru sana mleta uzi ,labda Wanaume tutabadilika.
Kama umeolewa na una "share" basi wewe utakuwa hauridhiki.Ule peke ako kwani sumu hiyo?
Kuna shida kwani?Kama umeolewa na una "share" basi wewe utakuwa hauridhiki.
Nashindwa kiamini kama upo kwa Ndoa mkuu... Si ujanja hata kidogoKizuri kula na mwenzio. Haipungui vitamu tule wote.
Aisee ukute hapa najibizana na wife wangu anaetaka kuendekeza hii kitu...madam please, sio nzuri kwa afya ya mwili na roho.Kuna shida kwani?
U call it " expert exchange program?" U can't be serious mkuu..Tunabadilishana maujanja a.k.a ufundi
Wenyewe kuvitembeza huko nje hawajambo nikugundue Halafu nikitulize tunadhan ungesema hata na wadada wanaotembea na waume za watu !unavua nguo na unaona pete kbs mkonon mwa mwanaume ! nakosa cha kusema ! demi kapeace njoon mnisaidie 2
bdw ukiona mke anachepuka na sio tabia yake toka uchumba jua kuna kitu hakipo sawa jipeleleze mwanaume !ingawa wengine ni hulka yao !
ni MENGI SANA !
Wenyewe kuvitembeza huko nje hawajambo nikugundue Halafu nikitulize tu
Wengi wao wakituoa hawatufikishi kibo na mawenzi mtu unapiga miaka miwili bila kuiona kibo
Wengine ni hulka tu hawaridhiki na dume moja
Wakituweka ndani ule uromantic wote unaisha anakufanya km kanyagio tu no maandalizi wala nini ni kufika na kupanda tu
Km mkeo anakupa chakula cha usiku na ana adabu mtuliage tu mengi yenu tunswasitiri tukiyasema hapa mtajiua
Wanaudhi sometime hawa viumbe wao wanajisemea hawawezi kula mboga aina moja daily, Halafu na sisi je???NIMEBURST !UWIIIIIIIIIII NJOENI JAMAN MMPUNGE MASHETANI HUYU BINTI
espy ,Evelyn Salt ,Nalendwa Heaven Sent demi Neybright !hahahahhahah mama weeeeeee leo UMEUAAAAAAAAA
Ulweso wapi wewe
Wanaudhi sometime hawa viumbe wao wanajisemea hawawezi kula mboga aina moja daily, Halafu na sisi je???