mwampepec
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 486
- 237
NIPO SERIOUS KABISAU call it " expert exchange program?" U can't be serious mkuu..
NIPO SERIOUS KABISAU call it " expert exchange program?" U can't be serious mkuu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe wamezidi kutunanga alaaaaaHAHAH!, jamani kapeace mie niliisha surrender kwake, anawapa za uso bila kubakisha haha!
Eti miaka, mtu hajatia mguu mawenzi! [emoji28]
HAHAH!, jamani kapeace mie niliisha surrender kwake, anawapa za uso bila kubakisha haha!
Eti miaka, mtu hajatia mguu mawenzi! [emoji28]
Wanaudhi sometime hawa viumbe wao wanajisemea hawawezi kula mboga aina moja daily, Halafu na sisi je???
Ivo viungo unavitoa wapi kiborodinda kimeshahamishia kidudu chake huko kwa mchepuko, tunapambana tu maana ndo asili yetu kutunza madhaifu yaoHahaha!, mamie I guess inabidi tupambane na hali zetu za mboga moja kila siku...lol
Ili hali tubadili mapishi na viungo, kama leo unajisikia kula chuku chuku sawa, na kesho yake labda ongezea viungo na maujanja ili hali usiikinai 'Mboga' [emoji4]
Ivo viungo unavitoa wapi kiborodinda kimeshahamishia kidudu chake huko kwa mchepuko, tunapambana tu maana ndo asili yetu kutunza madhaifu yao
HahahahahaaaAcha tu mpaka mtu ana wish na sisi tuweza kubadili Mboga. Tena ningetafuta ile "Minofu Minenee" [emoji87] [emoji85]
ViborodindaHahahhaah!, jamani kapeace eti kinani?!!
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ivo viungo unavitoa wapi kiborodinda kimeshahamishia kidudu chake huko kwa mchepuko, tunapambana tu maana ndo asili yetu kutunza madhaifu yao