Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Mkuu kama wewe ndio uliyemuoa demu wangu nliye kuwa nae toka form one ukaninyanga'nya mlipokutana chuo ukamuoa,mimi nitamtafuna hadi siku nakata roho.
Dah! Mkuu kuna jamaa alinipora manzi wangu! Manzi alikua akikaa kwa mjomba, sasa mjomba alipiga pombe akirudi ni matusi kwa sana ati mnakula na kujaza choo tu hapa! manzi akanambia tuoane na mimi mambo yangu hayajakaa vizuri! He si akatokea mchizi bwana na kutangaza ndoa kabisa! dah! nilinyong'onyea kabisa, manzi ananambia nimeamua tu kuolewa wewe unapenda mimi kupata shida hapa! dah! mchizi akaoa! na alifahamu kua tulikua wapenzi na kanipora! akaniomba msamaha kwakunipora mpenzi wangu dah! iliniuma sana! tulijizuia miaka kama minne tu, uzalendo ukatushinda mpaka sasa uzi unaendelea, ila kwa uficho mno!
 
Na UOTE="barafuyamoto, post: 24090652, member: 236860"]Yaonesha anampenda sana mke wake ila mke wake ni cha wote![/QUOTE]
Na kumuambia kashindwa kaja kuelezea hisia zake huku
 
Back
Top Bottom