Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Wana kaujinga fulani hivi huwa wanajijaza maana wanawake huwa wengi wanaridhika na mwanaume mmoja si kwasababu wanaume wako vizuri sana bali kwasababu wameamua tu kutulia.
Exactly, wajiulize ni kwanini biashara ya madildo inashamiri kwa kasi ni kwasababu tumeamua kuwapa heshima lkn wao mbwembwe kibaooo kwa kkutunanga
 
Alafu ukite ni mbovuuu mkewe umetulia unamfichia siri zake alafu anakitembeza huko nje kwenda kusambaza aibu zake mwisho zinakuwa aibu zenu.

Huwa siwaelewi wanavyojisifia ujinga utafikiri ni kitu cha maana wanaongea.

Hahah unanikumbusha former boss wetu alitembea na mfagizi kumbe alikuwa na kasoro nyingi, mfagizi akamtangaza ofisi nzima mpk habari zikamfikia mkewe hahha mke alicheka tu akasema yeye kamvumilia mwenyewe kajiona kidume acha aaibike. Aibu ilivyozidi mbona aliacha kazi. Mambo mengine ni heri kutulia tu kama uanaume hata mbwa anao. Ni kujitia aibu tu mtaani wakt si lolote wala chochote.
 
Wana kaujinga fulani hivi huwa wanajijaza maana wanawake huwa wengi wanaridhika na mwanaume mmoja si kwasababu wanaume wako vizuri sana bali kwasababu wameamua tu kutulia.
Bora mimi nimeaachwa kwa kushindwa kumridhisha sasa yupo huru kuwa na mwanaume yeyote anayemtaka bila kubughudhiwa. Kumbe ndivyo ilivyo ninasikitika kwa muda wote nilioishi naye sikujua kama haridhiki. sasa nimejua ila sisikitiki sana kwa kuwa alikuwa anaridhisha na wanaume wengine alienjoy maisha kama kawaida ila sasa anaenjoy ZAIDI.
 
Kama ujuavyo ke tunatunza sana madhaifu yao mengi, wakienda nje anatukana kabisa lile halishibishi kumbe mtu mwenyewe ni mzee wa kusimama na kupanda na hata dk tano hamalizi
Na huko mchepukoni kwakuwa wako after money wanawajaza sifa za kijinga linajiona dumeeee kumbe linang'ong'wa ili apukutishwe pesa.
 
Hahah unanikumbusha former boss wetu alitembea na mfagizi kumbe alikuwa na kasoro nyingi, mfagizi akamtangaza ofisi nzima mpk habari zikamfikia mkewe hahha mke alicheka tu akasema yeye kamvumilia mwenyewe kajiona kidume acha aaibike. Aibu ilivyozidi mbona aliacha kazi. Mambo mengine ni heri kutulia tu kama uanaume hata mbwa anao. Ni kujitia aibu tu mtaani wakt si lolote wala chochote.
Ndio kama hivyo sasa inakuwa aibu ya karne mfyuu zao!!
 
Kuna wanawake wengine hawafugiki, kwa mfano wangu ni kiruka njia balaa. Yy anajaribu kila dudu la mtu. Nafiria kumtema kabisa na kumsahau ktk historia ya maisha yangu.
Birds of the same feathers....
Pambana nae tu huyo ndio size yako.
 
Bora mimi nimeaachwa kwa kushindwa kumridhisha sasa yupo huru kuwa na mwanaume yeyote anayemtaka bila kubughudhiwa. Kumbe ndivyo ilivyo ninasikitika kwa muda wote nilioishi naye sikujua kama haridhiki. sasa nimejua ila sisikitiki sana kwa kuwa alikuwa anaridhisha na wanaume wengine alienjoy maisha kama kawaida ila sasa anaenjoy ZAIDI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kweli hili jambo lilikuumiza. Pole sana.
 
Watu wengine kwa ushenzi wanaoufanya ni halali yao kukutwa wakiwa wametenganishwa kichwa na kiwiliwili
 
Na huko mchepukoni kwakuwa wako after money wanawajaza sifa za kijinga linajiona dumeeee kumbe linang'ong'wa ili apukutishwe pesa.
Anahonga mchepuko kwa milio fake, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wangetaka amani ni kukaa na wake zao na wakakubali kuelezwa ili waache kujichoresha
 
Back
Top Bottom