Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Ifike mahala wanaume tuoneane huruma, mwanaume mwenzako anatoa posa, anatoa mahari anaoa mwanamke. Anamvesha anamlisha anamgharimia kila kitu kwa moyo wake wote unakuta mwanaume mwingine anayejua kuwa huyu ni mke wa mtu anakuwa naye kwenye uhusiano.

Wapo wanawake wadhaifu wakitongozwa kukataa hawawezi ndo hilka ya baadhi ya wanawake lakini wanaume tukiwa na roho ya huruma kwa wanaume wenzetu tunaweza komesha ufuska na tabia hii chafu.

Wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi sana hao hawana kipingamiza wala hutolaumiwa na yeyote. Wapo wanawake wengi wanajiuza inakuwaje uparamie mke wa mwanaume mwenzako.

Wanaume tukiamua kujitetea na kukomesha tabia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wanawake maana hawatasumbuliwa pia wataepukana na vishawishi. USITONGOZE WALA KUWA NA UHUSIANO NA MKE WA MWANAUME MWENZAKO. WANAUME TUPENDANE TUONEANE HURUMA.
Sasa huyo mke anabakwa au kwa ridhaa yake?
 
Wenye vibamia ndo wanatumaga nyuzi huku wanasikitika kinoma..yaani utawaonea huruma..nahisi mleta mada kazidiwa kete
 
Mwanamke wa mtu kwa nini ukubali kurubuniwa na kutoka nje ya ndoa (halali au haramu)
 
Hahahahaaaaaa mtoa mada umeandika kwa hisia.......pole sana

Ameshakanyagiwa huyo na nadhani labda ametonywa kuwa aliyemkanyagia ni Member wa JF hivyo kaamua kuja kutiririkia na kusererekea huku huku kusudi aweze kutoa ' jakamoyo ' lake.
 
Wanaume tuurumiane na pia sisi wanaume tusiwjengee vishawishi wake zetu wakatoka nje ya ndoa...
Mwanaume kidhi haja za mke wako
 
Kama mke wa mtu Sumu basi ghetto nina maziwa... Wajanja ndio wanasema hivyo
 
Mbona baadhi ya watu wanakuja na shambulizi binafsi???? Sijasema kuwa kuna mtu kanifanyia hivyo lakini nasikitika sana kuona wanaume hatuna huruma kwa wanaume wenzetu hata kwenda kulala na mke wake ile hali unajua kuwa unayelala naye ni mke wa mwanaume mwenzako.
 
Wenye vibamia ndo wanatumaga nyuzi huku wanasikitika kinoma..yaani utawaonea huruma..nahisi mleta mada kazidiwa kete

kumbe na wewe una mawazo ya hovyo namna hii !HUYAJUI MAPENZI WEWE TULIA TU
 
Huo ni ushamba tuuh kula mke wa mwenzio huku mijidada na misimbe isiyo na wanaume imejaa kibao.
Kama mkeo amening'ang'ania hadi anaiba hela zako kunihonga nimkune, nimwacheje? Mtosheleze mkeo ili asitongoze wanaume. Mko bize na biashara mnasahau kuwakuna migongo wake zenu, wakikunwa na wengine mnalalamika.
 
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu ameoa mke mzur sana cha ajabu vijana wanagonga na jamaa anajua kabisa

Siku moja kijana mmoja akafanya kama kumpa umbea ivi jamaa alipo ambiwa wala hakushtuka kijana akashikwa na mshangao

Ikabidi afanye uchunguzi,katika uchunguzi wake majibu aliyoyapata yakustaajabisha sana kumbe yule jamaa alishaachana na yule mwanamke miaka mingi tu

Wako karibu kutokana na watoto ambao bado wadogo na tatizo LA lililowafanya hadi waachane ni baada ya kwenda kupima mume alihisi mke anachepuka

Majibu yalitoka Mme yuko salama mama kawaka,jamaa akaamua kujiweka pembeni

Jamaa zangu wanne wameshapima na wamewaka kupitia uyu mama
 
Sawa Mimi siyajui basi nifundishe niyajue..nafikiri mawazo ya hovyo atakuwa nayo yule mumeo mlevi

Time will tell

nakushangaa na ww mwanaume mzima unakuja na hoja za vibamia !huon haya wewe !we si mtu mzima umeoa> masuala ya kusema vibamiawaachie watoto wa humu jf !

wewe mume wangu humkuti hata 60%
 
nakushangaa na ww mwanaume mzima unakuja na hoja za vibamia !huon haya wewe !we si mtu mzima umeoa> masuala ya kusema vibamiawaachie watoto wa humu jf !

wewe mume wangu humkuti hata 60%
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Nilitamani nimjibu huyo shouger kidawa, me anaejua kupashana na ke hahahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Nilitamani nimjibu huyo shouger kidawa, me anaejua kupashana na ke hahahahaha

kapeace sikufichi shoga najuaga wanaiosema masuala ya vibamia wapo age za 20-27 hv !huyu alishasema ana mke tena siku moja alikua anatoa ushauri mzuri sana wa kumuwekea kawivu mumeo !kanikera bas tu jaman hv men mzima unakuja na ishu za kusema vibamia hv una akili timilifu wewe ?? tatz washakariri wanahis kila mtu anataka madudu makubwa !hawajui wanawake hisia zetu zipo juu juu tu !mtu nikimskia anaongelea vibamia mwenzako najuaga hajui mapenzi 100%
 
Na ndo ilivyo tena hao wenye mitalimbo wake zao ndo wanaongoza kwa kuchepuka
 
Back
Top Bottom