Hilo ni angalizo tu mkuu,atakayekamatwa ndiye huyo atafidia wengine.Mkanye mkeo asiwe chai maharage,Kama humuonyi vijana wataendelea kukugongea Kama kawa
Sisi sio mboga tuWanaudhi sometime hawa viumbe wao wanajisemea hawawezi kula mboga aina moja daily, Halafu na sisi je???
Sie ni watu wa kimya kimya vitendo tu no manenoNIMEBURST !UWIIIIIIIIIII NJOENI JAMAN MMPUNGE MASHETANI HUYU BINTI
espy ,Evelyn Salt ,Nalendwa Heaven Sent demi Neybright !hahahahhahah mama weeeeeee leo UMEUAAAAAAAAA
Ulweso wapi wewe
😀😀😀Aisee ukute hapa najibizana na wife wangu anaetaka kuendekeza hii kitu...madam please, sio nzuri kwa afya ya mwili na roho.
Kubwa mno...yani utamhurumia huyo jamaa siku akikamatika.😀😀😀
Wife wako asiliwe kwakua we nani?
Au unayo ya dhahabu?
Aisee hadi wewe mkuuHainaga ushemeji
we ndo mshamba unakuwa na uchungu nae kama dada ako, wanajileta wenyewe tufanyajee???Huo ni ushamba tuuh kula mke wa mwenzio huku mijidada na misimbe isiyo na wanaume imejaa kibao.
Hahahaaa!! Jamani comment mujarab kabisa hiyo.sijui kwann nachekaga na comment zako !haha unajua ww ni NUNDA
Alafu ukute ni mbovuuu mkewe umetulia unamfichia siri zake alafu anakitembeza huko nje kwenda kusambaza aibu zake mwisho zinakuwa aibu zenu.Wenyewe kuvitembeza huko nje hawajambo nikugundue Halafu nikitulize tu
Wengi wao wakituoa hawatufikishi kibo na mawenzi mtu unapiga miaka miwili bila kuiona kibo
Wengine ni hulka tu hawaridhiki na dume moja
Wakituweka ndani ule uromantic wote unaisha anakufanya km kanyagio tu no maandalizi wala nini ni kufika na kupanda tu
Km mkeo anakupa chakula cha usiku na ana adabu mtuliage tu mengi yenu tunswasitiri tukiyasema hapa mtajiua
Wana kaujinga fulani hivi huwa wanajijaza maana wanawake huwa wengi wanaridhika na mwanaume mmoja si kwasababu wanaume wako vizuri sana bali kwasababu wameamua tu kutulia.Wanaudhi sometime hawa viumbe wao wanajisemea hawawezi kula mboga aina moja daily, Halafu na sisi je???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] We binti noma!!!Ule peke ako kwani sumu hiyo?
Ha haha, utarogwa we mwanamke😀😀😀
Wife wako asiliwe kwakua we nani?
Au unayo ya dhahabu?
Watulize boli uwanja mpana huuSisi sio mboga tu
Hadi kachumbali, chachandu, mango pickle, mbilimbi pickle tunabadilisha 😀
Kama ujuavyo ke tunatunza sana madhaifu yao mengi, wakienda nje anatukana kabisa lile halishibishi kumbe mtu mwenyewe ni mzee wa kusimama na kupanda na hata dk tano hamaliziAlafu ukite ni mbovuuu mkewe umetulia unamfichia siri zake alafu anakitembeza huko nje kwenda kusambaza aibu zake mwisho zinakuwa aibu zenu.
Huwa siwaelewi wanavyojisifia ujinga utafikiri ni kitu cha maana wanaongea.