Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,600
- 171,493
naburudisha nafsiMuda huo unamkomoa nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
naburudisha nafsiMuda huo unamkomoa nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha we!!ha ha ha ha ha power of papuch haimuach mtu salama lazma awe mwehu kidogo
Ona sasa aibu km hiiiHahah unanikumbusha former boss wetu alitembea na mfagizi kumbe alikuwa na kasoro nyingi, mfagizi akamtangaza ofisi nzima mpk habari zikamfikia mkewe hahha mke alicheka tu akasema yeye kamvumilia mwenyewe kajiona kidume acha aaibike. Aibu ilivyozidi mbona aliacha kazi. Mambo mengine ni heri kutulia tu kama uanaume hata mbwa anao. Ni kujitia aibu tu mtaani wakt si lolote wala chochote.
Niache nn sasaWacha we!!
Ahaa si hvyo bwana vurugu nyingiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natembea na mume wangu.
Kweli kabisa.Anahonga mchepuko kwa milio fake, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wangetaka amani ni kukaa na wake zao na wakakubali kuelezwa ili waache kujichoresha
Kwa coment kama hizi nawaonea huruma sanaaaa wanaume walio oa nawaonea huruma yaani ni bora kwa sasa kuwe na mpango wa kuwazalisha tu wanawake na kuwaacha.Exactly, wajiulize ni kwanini biashara ya madildo inashamiri kwa kasi ni kwasababu tumeamua kuwapa heshima lkn wao mbwembwe kibaooo kwa kkutunanga
Atajiju hamuwezi shindana na mlipotokea tukiwasitiri msijivimbishe na kujitanguliza vifua muwe me kweli kweliKwa coment kama hizi nawaonea huruma sanaaaa wanaume walio oa nawaonea huruma yaani ni bora kwa sasa kuwe na mpango wa kuwazalisha tu wanawake na kuwaacha.
Narudia nawaonea huruma sanaa wanaume wenzangu waliooa kwa koment kama hii
Wawazalishe tu na kuwaacha maana si hakuna kuridhishana so ni muzalishana tu na kuwaacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeiqoutea juu [emoji115]
Kwa kwel upo sahihi kutoshindana na naniiiAtajiju hamuwezi shindana na mlipotokea tukiwasitiri msijivimbishe na kujitanguliza vifua muwe me kweli kweli
Alichemka mwanaume wa kwanza chini ya jua Adam wewe nani labda!!!! Ingekuwa vyema na haki muishi km yesu vinginevyo kitu papuchi hamuwezi abadani kushindana nachoKwa kwel upo sahihi kutoshindana na naniii
Nashindana na ela hivo mbona vipo tu kila kona sio tu kwa kuvitafta bali kwa vyenyewe kukutafta.
Kona bar, buguruni,sinza,kinondoni makaburin,uwanja wa fisi,chako n chako,makoroboi,vilapark nk
Hizo ni baadhi ya sehem zinaonesha THAMAN YA MWANAMKE
sijui nkutajie na abroad [emoji4][emoji4][emoji4]
Japo ni chungu lkn bora umekubali mnapoangukia na ni rahisi kupata suluhishoHakuna namna kama humtimizii haja zake lazma atafunwe,unakuta baba stress za biashara plus kisukar,au unarudi hom kila cku umechoka ukitombe...a ni sawa tu,sisi wanaume smtym tunachangia wake zetu kitombw...a
Hahahaaa!! Jamani comment mujarab kabisa hiyo.
Kuna wanawake wengine hawafugiki, kwa mfano wangu ni kiruka njia balaa. Yy anajaribu kila dudu la mtu. Nafiria kumtema kabisa na kumsahau ktk historia ya maisha yangu.
Alafu ukute ni mbovuuu mkewe umetulia unamfichia siri zake alafu anakitembeza huko nje kwenda kusambaza aibu zake mwisho zinakuwa aibu zenu.
Huwa siwaelewi wanavyojisifia ujinga utafikiri ni kitu cha maana wanaongea.