Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

mwanaume kusema mwaka huu utajibebaaa... ushoga huo..
 
Mkuu hiyo ni dalili ushaanza kuzeeka. Uanzee tu kuitikia "marahaba" na acha zile za kujifanya hujaskia shikamoo.

Hahahaha mkuu KakaJambazi umenichekesha sana, hivi unajua humu jf kuna watu wanaandka na kusoma tu kiswahili lakini hawaongei huko walipo?
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!kazi kweliii....chalii ya mainiii.akaoshi nanuu.cheee.hu sasa ni upufu, kwafasi dwasi ni msemo tu
 
Back
Top Bottom