Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

Hilo neno limeanza lini mkuu? Maana kwangu naona geni kabisa. Sheeda ni kitu gani ebwana mi naona napitwa hapa

Mkuu mtafute Madee (msanii)
kama si yy tafuta nymbo yake kwa jina hilo.
 
Hilo neno limeanza lini mkuu? Maana kwangu naona geni kabisa. Sheeda ni kitu gani ebwana mi naona napitwa hapa

Mkuu hiyo ni dalili ushaanza kuzeeka. Uanzee tu kuitikia "marahaba" na acha zile za kujifanya hujaskia shikamoo.
 
Ah wapi...!!!
Huku uswahilini kwetu huwezi yakwepa hayo maneno, mpk gymnasium utayasikia...
 
Back
Top Bottom