Kila mwanaume aliumbwa awe Msodoku kisha Myebusi

Kila mwanaume aliumbwa awe Msodoku kisha Myebusi

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,309
Reaction score
2,999
Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke.

Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja kengeuka na kuwa Wapashiwa.
 
Back
Top Bottom